Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.

Its around 65KM from Dar.

Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.
Upande upi sasa kwa Dar unaelekeza kama mmasai.Huko Boza kama unaelekea Bagamoyo au kigamboni?Mwelekeze vzr wengine pia tupajue.
 
Km 65? Si siku nzima kusafiri?

Kusafiri ni saa moja mpaka matatu kutoka katikati ya jiji, inategemea na muda ulioondoka na msongamano uliopo.

Normally siku za weekend ukiondoka kabla ya saa mbili asubuhi, inakuchukuwa saa moja mpaka moja na nusu maximum.

Siku za week days ndio utahenya kidogo na msongamano mpaka ukishatoka nje ya mji, itakuchukuwa masaa mawili mpaka matatu kufika.

Lakini samahani sana, siwaambii ni wapi, mtapachafua. Wacha mpajue wenyewe kwa bahati mbaya.
 
Bichi nzuri na kali kuliko zote ni kitanda pekee tena kiwe nje kwenye gaden aaah
 
Kusafiri ni saa moja mpaka matatu kutoka katikati ya jiji, inategemea na muda ulioondoka na msongamano uliopo.

Normally siku za weekend ukiondoka kabla ya saa mbili asubuhi, inakuchukuwa saa moja mpaka moja na nusu maximum.

Siku za week days ndio utahenya kidogo na msongamano mpaka ukishatoka nje ya mji, itakuchukuwa masaa mawili mpaka matatu kufika.

Lakini samahani sana, siwaambii ni wapi, mtapachafua. Wacha mpajue wenyewe kwa bahati mbaya.

Nikija naomba uwe mwenyeji wangu.
 
Wadau wa JF wakazi wa Dar

Nisaidien jamani, nataka kujua beach gani kwa Dar n nzuri kuliko zote, toka nizaliwe nimekua sina interest na kwenda Beach,

So nimejikia kutaman sana bahada ya mke wangu kuniomba cku nying kwenda nae beach,

Nataka nmfanyie suprice J2, nishaurin niende beach gan ili tukahave much fun,

Thanks in advance

Za nje ya jiji pia ni nzuri kama unapenda visafari safari...nendeni bwaga-heart
 
Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.

Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.

msamehe bure kwa kudandia treni kwa mbele.........

utanielekeza vizuri hiyo beach...........

natumaini haitanihitaji niwe na ulinzi huko.
 
Nenda South beach au Kunduchi wana huduma nzuri kwa mda niliokuepo hapo bt currently i knew nothing.
 
Back
Top Bottom