Kijiji beach imeungua muda mrefu hivyo hakuna huduma,
Mkuu nenda beach ya sunrise, changani, amani beach, funcity na bakhresa beach, gold island beach, zote zipo kigamboni na ni nzuri zenye hadhi na usalama pia Uhuru upo.....
Ukija south beach itakuwa poa nitakufanyia mpango kuna watu wanafanyakazi humo nina wajua,
Hizo beach hazina pesa kubwa ni tshs: 10,000/= mpaka 15,000/= kwa mtu mmoja kiingilio na kuogelea bure na michezo mingine ya maji...
Ila chakula na michezo mingine kama magari n.k unalipia......
Ur welcome boss.........