Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

kigamboni! sema ya kiswaz mbaaya! ukiweka nguo zako vibaya unaeza ukaenda home na kichup chako cha kuogelea .......... njoo nikupeleke?

mambo ya kurudi na kichupi mkononi na tz11 hapana lol
 
Wadau wa JF wakazi wa Dar

Nisaidien jamani, nataka kujua beach gani kwa Dar n nzuri kuliko zote, toka nizaliwe nimekua sina interest na kwenda Beach,

So nimejikia kutaman sana bahada ya mke wangu kuniomba cku nying kwenda nae beach,

Nataka nmfanyie suprice J2, nishaurin niende beach gan ili tukahave much fun,

Thanks in advance
wewe nenda yeyote mpaka upelekwe kwani we kipofu
 
Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.

Its around 65KM from Dar.

Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.

Faiza uko sahihi, lakini kutoka Shungubweni pale kwenda Boza usafiri vipi, nazungumzia barabara, imerekebishwa au bado ? Kama kuna njia nyingine niambie.

Kwa beach safi na salama, Boza the best.Bado natural kabisa.
 
Faiza uko sahihi, lakini kutoka Shungubweni pale kwenda Boza usafiri vipi, nazungumzia barabara, imerekebishwa au bado ? Kama kuna njia nyingine niambie.

Kwa beach safi na salama, Boza the best.Bado natural kabisa.

Daah uko mbal, panafaa for holidays, ukienda ukrud unajua kesho ntapumzka tu
 
Naona ndugu yangu nimecheka kweli comments za watu humu ndani. Hope umepata jibu though. Otherwise njoo pm nyakupa uzoefu wangu na beach za mbezi

Ver fun, kuna walio serious, kuna wenye bang, napia wanaoleta utan wapo pia
 
Back
Top Bottom