Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

ewe kibibi kizee boza beach iko wapi? au ni kama Beach kidimbwi ya Sinza?

unaifahamu beach kidimbwi?

atafute hela ya kutosha aje pangani beach karibu na mashadow

Copacabana-Beach-Rio-De-Janeiro.jpg
 
Najiliza bila jibu
Hivi kumbe ujinga ndio una nafasi kwenye maisha toka jana kuna wanajamvi wengi wametuma post nyingi sana
Lakini hazijachangiwa hata kama zimechangiwa ni kwa kiasi kidogo sana
Ila huyu member mwenzetu katupia hii post yake kutaka kujuwa bichi nzuri watu wamemwagika wa kutosha
Nimegundua jf tujipange elimu nk vinapotea
Hatuwezi kuwa tunaongea upuuzi kama huu kwa wingi
Nitaonekana mbaya kwa leo ila ninaamini najenga tena sana
USHAURI:tusikubali kuchangia ujinga hapa ila tuwaambie waleta uzi ukweli ili wajirekebishe jf idumu na idumu milele.
Asanteni long live jf
 
nenda mahaba beach iko kunduchi ununio...mwisho kabisa
 
Daah aisee hata mimi boni hia hia lakini sijaipata iko wapi. Nimegugo pia hola. Hebu tujuze basi iko pande zipi?

Najuta kwa nini nimepataja, mtakuja kutuchafulia mazingira, nyie nendeni pale Coco, kikojo kitupu.
 
Wapi hiyo ipo tafadhali naomba uelekeo sahihi wa kunifikisha hapo.

Dah! samahani, niliweka kwa nia njema kabisa lakini kuna mtu kanambia umefanya kosa. Siwaambii iko wapi kwa sababu za kulinda mazingira.
 
DYC. ..DAR ES SALAAM YATCH CLUB. ..beautiful indeed. .new years ball. ..wonderful. .plenty of fireworks. ...uwe member. .
 
Kijiji beach imeungua muda mrefu hivyo hakuna huduma,
Mkuu nenda beach ya sunrise, changani, amani beach, funcity na bakhresa beach, gold island beach, zote zipo kigamboni na ni nzuri zenye hadhi na usalama pia Uhuru upo.....
Ukija south beach itakuwa poa nitakufanyia mpango kuna watu wanafanyakazi humo nina wajua,
Hizo beach hazina pesa kubwa ni tshs: 10,000/= mpaka 15,000/= kwa mtu mmoja kiingilio na kuogelea bure na michezo mingine ya maji...
Ila chakula na michezo mingine kama magari n.k unalipia......

Ur welcome boss.........
 
Back
Top Bottom