ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,560
- 8,002
Ili upate msamaha wa kodi gari lazima iwe ya mwaka 2017 na kuendelea. (Chukua mwaka wa sasa kurudi miaka 8 nyuma)mkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.