Inatokana na gari ambalo umechagua mfano magari ambayo nimeulizwa yote ni ya gharama kubwa ingawa magari ya Bei ndogo yapo na nitauapost hv punde
Kuhusiana na kinachofanya Bei kuwa kubwa sababu kuu ni Kodi za tra ambazo huwa sawa na Bei ya gari mfano gari ainavya Toyota IST 2083 Bei yake Toka beforwad ni million kumi na Moja lkn Kodi za tra ni MILIONI Saba Bado ushuru wa mamlaka ya bandar TPA Bado tbs Bado watu wa BIMA na watu wa clearance and forwarding agent gharama zinafika MILION 20 lon gharama zote hizo zinajumuisha kila kitu Hadi usajili wa gari inabaki kuchukua garibna kuanza kulitumia