mkuu nikitafuta hii pesa, inawezekana tukaagiza hii gari kwa kuprocess msahama wa kodi? au kuna gharama za ziada?12735000
mkuu nikitafuta hii pesa, inawezekana tukaagiza hii gari kwa kuprocess msahama wa kodi? au kuna gharama za ziada?12735000
Gharama za ziada zipo hiyo ni Bei halis Bado Kodi na no lazima kulipa Kodi kama unajuta kuna njian za kukwepa Kodi ambazo ni halali sawa lkn huwa napost nikiwa nimeunganisha na Kodi makusudmkuu nikitafuta hii pesa, inawezekana tukaagiza hii gari kwa kuprocess msahama wa kodi? au kuna gharama za ziada?
Mfano gari ni Toyota harrierGari ikishafika bongo baada ya kulipia kodi za TRA,gharama zipi nyingine zinakuwepo na ni kiasi gani,hebu ziweke wazi zote hapa tujue gharama halisi ya uagizaji
Zipo hususani IST Subaru Forester na Mazda CX-5 pkn hapo ni Bado Kodi ko kukiwa na Kodi approximately ni million 18+gari iliyo chini ya 10m
Mkuu, mimi naongelea msahama wa kodi ambao upo kisheria kwa mtumishi wa Uma, sitaki wizi.Gharama za ziada zipo hiyo ni Bei halis Bado Kodi na no lazima kulipa Kodi kama unajuta kuna njian za kukwepa Kodi ambazo ni halali sawa lkn huwa napost nikiwa nimeunganisha na Kodi makusud
Okay 👍 👍 toa orderMkuu, mimi naongelea msahama wa kodi ambao upo kisheria kwa mtumishi wa Uma, sitaki wizi.
Thanks mkuu,kumbe port charges ni kamzigo piaMfano gari ni Toyota harrier
Bei halisi ya gari ni million 17
Tra 15 million
Tanzania port authority fees 800,000
Clearance and forwarding agent sh 250,000
Bima 118000
Mkuu hey ni Kwa uchache approximately 33M
Yes naendelea kupost cause people waandae akili zao wajue namna gan wanajichangaThanks mkuu,kumbe port charges ni kamzigo pia
Year of manufacturing ni 2019TOYOTA AQUA NHP 10
PRICE 23M
TOYOTA AQUA ya 2015Year of manufacturing ni 2019
Kumiliki gari TZ ni AnasaTena ya 2004
Hahahaha 🤣
Mkuu kama hautojali naomba nioneshe forester ambayo haizidi 11.5MZipo hususani IST Subaru Forester na Mazda CX-5 pkn hapo ni Bado Kodi ko kukiwa na Kodi approximately ni million 18+
Year of manufacturing ni 20TOYOTA AQUA NHP 10
PRICE 23M
Ya hiyo Bei ipo but exclude KodiMkuu kama hautojali naomba nioneshe forester ambayo haizidi 11.5M
Mkuu njoo DMTOYOTA AQUA ya 2015
Mpaka naiweka kwa road gharama makadirio zikoje.
Naomba nichekie ikipendeza tufanye biashara.
Andaa 21MTOYOTA AQUA ya 2015
Mpaka naiweka kwa road gharama makadirio zikoje.
Naomba nichekie ikipendeza tufanye biashara.