Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,140
- 8,314
Tena ya 2004Ist 20.5m??????
Hahahaha š¤£
Tena ya 2004Ist 20.5m??????
12735000hii mazda bila ushuru bei gani mkuu?
12735000hii mazda bila ushuru bei gani mkuu?
AgentHyo ist ni sh ngapi....apo kweny pic
Na wewe ni middle mana au ni agent wa be forward ā©
I'm an agentHyo ist ni sh ngapi....apo kweny pic
Na wewe ni middle mana au ni agent wa be forward ā©
Kuna Kodi ya uchakavuTena ya 2004
Hahahaha š¤£
Mkuu weka na kodi maana wengi tungependa kujua mpaka naipata gari mkononi gharama zitakuwaje.Jamani ninaona malalamoko ni mengi hususani kwenye Bei bmuda sio mrefu nitaanza kupost magari pasipob kujumlisha Kodi maana kinachofanya Bei kupanda ni Kodi
Vizur maana kuna watu hawaamini hizo canter mbili hapo juu nimepost bila KodiMkuu weka na kodi maana wengi tungependa kujua mpaka naipata gari mkononi gharama zitakuwaje.
Hapo mtu atadhani kitonga kumbe kodi zinasubiri, haiakisi gharama halisi.Vizur maana kuna watu hawaamini hizo canter mbili hapo juu nimepost bila Kodi
Na lengo kuu la kuanzisha Uzi huu ni watu kuwa na uelewa wa Kodi zote ambazo mtu anapaswa kutoa ndio maana nimeamua kuunganisha kila kitu ili watu waone uhalisia na kama mtu anataka kununua gari basi ajipange kweliHapo mtu atadhani kitonga kumbe kodi zinasubiri, haiakisi gharama halisi.
TOYOTA RAV4
2009
DBA ACA 31W
Petrol
2001-2500cc
Price 39M
Namba 4 inaweza kuwa ni kiasi gani mkuu?Mkuu SI ndio hizo hapo
1. Clearance and forwarding agent sh 250000 most of them gharama ni hiyo
2. TBS
3.tira yaani watu wa BIMA hii hubadika kulingana na thamani ya gari
4. Ushuru wa mamlaka ya bandar