mkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.Mnapiulizia gari tajwni na Miaka ya kutengenezwa Kwa gari Hilo mfano toyota IST 2002
Kumbuka magari yote ambayo ni new model gharama inakuwa juu pia na Yale ambayo year of manufacturing ni ya karibu mfano 2025 gharama zake huwa juu kuanzia Bei ya gari Kodi bima usafirishaii na gharama zingine
Kwa kusaidiana ni Vizur ukaniambia una sh ngapi na unataka gari Gani ili nijue nazingatia nn na ninakupatia gari zuri