- Thread starter
- #101
Utalipata siku ukiwa Tayar nambieNajipanga,rangi nyekundu
Utalipata siku ukiwa Tayar nambieNajipanga,rangi nyekundu
Ok ukiwa Tayar nambieNajipanga,rangi nyekundu
| Reference Number: | 24254088142 |
| Make: | NISSAN |
| Model: | X-TRAIL - /NT31 |
| Body Type: | SUV |
| Year of Manufacture: | 2008 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: | 1501 - 2000 CC |
Kwa mwaka huu waagize gari za mwaka 2006 ndio ushuru wake upo chini kidogo.Mnapiulizia gari tajwni na Miaka ya kutengenezwa Kwa gari Hilo mfano toyota IST 2002
Kumbuka magari yote ambayo ni new model gharama inakuwa juu pia na Yale ambayo year of manufacturing ni ya karibu mfano 2025 gharama zake huwa juu kuanzia Bei ya gari Kodi bima usafirishaii na gharama zingine
Kwa kusaidiana ni Vizur ukaniambia una sh ngapi na unataka gari Gani ili nijue nazingatia nn na ninakupatia gari zuri
Asante Kwa taarifa mkuuKwa mwaka huu waagize gari za mwaka 2006 ndio ushuru wake upo chini kidogo.
| Reference Number: | 24254088156 |
| Make: | NISSAN |
| Model: | X-TRAIL - T32/NT32 |
| Body Type: | SUV |
| Year of Manufacture: | 2020 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: | 1501-2000cc |
| Reference Number: | 24254061561 |
| Make: | MAZDA |
| Model: | VERISA - DC5 |
| Body Type: | HATCHBACK |
| Year of Manufacture: | 2005 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: Price | 1001 - 1500 CC 15millions |
Nyie vijana mmekulia vijijini ama? Yaani unaweza kabisa ukafikiria kununua X-Trail?Niwekee Nissan extrail newmodel
Kwa kuwa amesema bei ni pamoja na usajili na bima, (hivi ndio vitu vya mwisho kulipa unapoagiza gari) ina maana hakuna gharama zaidi ni wewe tu uwe na driving license iliyo hai unasukuma chuma mtaani.Gari ikishafika bongo baada ya kulipia kodi za TRA,gharama zipi nyingine zinakuwepo na ni kiasi gani,hebu ziweke wazi zote hapa tujue gharama halisi ya uagizaji
Mkuu shukran Kwa ufafanuziKwa kuwa amesema bei ni pamoja na usajili na bima, (hivi ndio vitu vya mwisho kulipa unapoagiza gari) ina maana hakuna gharama zaidi ni wewe tu uwe na driving license iliyo hai unasukuma chuma mtaani.
Ukiachana na tra kuna gharama zingine hususani Toka TBS TPA TIRA NA clearance and forwarding agent ambayo huwa ni 250000