Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari
Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE kuhitaji kuagiza magari nje ya nchi.
Katika Uzi huu nitapost baadhi ya magari na Bei zake.
Kumbuka magari yote haya unaweza agiza kupitia beforwad pekee

1.TOYOTA HARRIER 2005ACU3w
Bei million 35
Bei inajumuisha kila kitu Hadi Kodi usajili bima
 

Attachments

  • Screenshot_20250601-080020_1.jpg
    Screenshot_20250601-080020_1.jpg
    282 KB · Views: 28
  • Screenshot_20250601-080034_1.jpg
    Screenshot_20250601-080034_1.jpg
    178.9 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250601-080034_1.jpg
    Screenshot_20250601-080034_1.jpg
    178.9 KB · Views: 31
  • Screenshot_20250601-080030_1.jpg
    Screenshot_20250601-080030_1.jpg
    196.7 KB · Views: 29
TOYOTA IST

MODEL NSP 60
Year of manufacture 2004
FUel type petrol
Engine capacity 1000cc-1500cc
Country of origin Japan
Price 20,500,000
 

Attachments

  • BY010090_e5c934.jpg
    BY010090_e5c934.jpg
    7.8 KB · Views: 35
  • BY010090_f6986e.jpg
    BY010090_f6986e.jpg
    6.9 KB · Views: 31
  • BY010090_b92190.jpg
    BY010090_b92190.jpg
    7.8 KB · Views: 26
  • BY010090_ae1c57.jpg
    BY010090_ae1c57.jpg
    7.1 KB · Views: 25
  • BY010090_dd6522.jpg
    BY010090_dd6522.jpg
    7.9 KB · Views: 23
  • BY010090_ecc05a.jpg
    BY010090_ecc05a.jpg
    7.6 KB · Views: 20
  • BY010090_e5c934.jpg
    BY010090_e5c934.jpg
    7.8 KB · Views: 24
  • Screenshot_20250602-120723.jpg
    Screenshot_20250602-120723.jpg
    450.2 KB · Views: 24
Bmw x6 ni ngapi
Nissan patrol ni ngapi inifikie?
Bmw x6 andaa MILIONI 57 maana Kodi ni kubwa sana halafu gari la mjerumani

BMW X6 SUV
Year of manufacturing 2011
Fuel type petrol
Engine capacity 2500 and above
Country of origin german
 

Attachments

  • BX817752_938474.jpeg
    BX817752_938474.jpeg
    6.7 KB · Views: 30
  • BX817752_1bf86b.jpeg
    BX817752_1bf86b.jpeg
    46.2 KB · Views: 30
Nitafutie Mitsubishi Outlander kali sana ya kuanzia mwaka 2014 kwenda mbele yenye bei ya kizalendo isiyozidi 35 M unipe na mchanganuo wa bei, usafiri, kodi ya TRA na tozo nyingine ndogo ndogo za bandarini. Ikiwezakana nitumie na link nijiridhishe.​
 
TOYOTA IST

MODEL NSP 60
Year of manufacture 2004
FUel type petrol
Engine capacity 1000cc-1500cc
Country of origin Japan
Price 20,500,000
Duuh si mchezo haka ni 20.5ml hatari....

Sasa hii itakuwa ngap mzee

null-20250521-WA0006.jpg
null-20250521-WA0006.jpg
 
Mnapiulizia gari tajwni na Miaka ya kutengenezwa Kwa gari Hilo mfano toyota IST 2002

Kumbuka magari yote ambayo ni new model gharama inakuwa juu pia na Yale ambayo year of manufacturing ni ya karibu mfano 2025 gharama zake huwa juu kuanzia Bei ya gari Kodi bima usafirishaii na gharama zingine

Kwa kusaidiana ni Vizur ukaniambia una sh ngapi na unataka gari Gani ili nijue nazingatia nn na ninakupatia gari zuri
 
Gari ikishafika bongo baada ya kulipia kodi za TRA,gharama zipi nyingine zinakuwepo na ni kiasi gani,hebu ziweke wazi zote hapa tujue gharama halisi ya uagizaji
 
Back
Top Bottom