Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

Tamthilia ya mwisho kuangalia ilikuwa ni la revancha ya akina aljandro na soledad enzi nikiwa primary school..

Baada ya hapo, mzuka wa tamthilia ukafia mbali after economics dominating my head...

Heri yenu mnaoendelea kufuatilia..

Duh wewe ni mtoto sana mimi la revencha nilikuwa a level nikaifuatilia hadi mwisho. Wala sikufeli ni sehemu ya entertainment. You cant be working or studying all the time.
 
Kazi na dawa bana.

poa angalieni tu nyie wanawake,

mi nawaza tu jinsi ya kumtafutia mke wangu bwana afurahi!

tukikaa wote kwenye sofa, si itakuwa mwanzo wa kugongewa?

Hata kama ni usiku, addiction ni mbaya sana !
 
Duh wewe ni mtoto sana mimi la revencha nilikuwa a level nikaifuatilia hadi mwisho. Wala sikufeli ni sehemu ya entertainment. You cant be working or studying all the time.

Actually nilikuwa mtoto sana, hata lugha ilikuwa haipandi, nilikuwa nafurahia matukio tu na jinsi wanavyopigana...

Baadae nikaja kuiona ile ya timeless kutoka filipino, kwa kiasi lakini... Mzuka ulikuja kukatika nilipoanza sekondari...

Ila zinaburudisha sana hizi.. angalieni tu jamani..
 
poa angalieni tu nyie wanawake,

mi nawaza tu jinsi ya kumtafutia mke wangu bwana afurahi!

tukikaa wote kwenye sofa, si itakuwa mwanzo wa kugongewa?

Hata kama ni usiku, addiction ni mbaya sana !

Wewe kiri tu hupendi tamthiliya/ movie.Kuna hobby zako unazofatilia may be mpira
 
MamaBeata umenichekeshaje?
Ni true story hii?

Lakini I'm against kumwonyesha housegirl insecurities zako na mume wako. Heshima yako inaondoka. Atakuwa very confident na kujiona kama mke mwenza sasa.

Lakini ni kweli unaweza kubabaishwa na housegirl? Unfortunately Sijawahi kupata housegirl aliyenitisha.

Ndo madhara ya kuwa na urafiki mno na maHousegirl. She is supposed to know from the beginning who is the Alpha Female.

pole.

Its a true story. Anyway nimejifunza kitu kutoka kwako housegirl
 
Last edited by a moderator:
mary soledad?,kama ndo hiyo mbona ya juzi tu,kumbe wewe ni mdogo sana.
Ilishia vipi maana chanel ten waliikatisha njiani.

Nahisi ndo huyo.. niliiangalia mwaka 2005 kupitia TVT (tbc) by that time nikiwa std 7, sijui hata nikusimulieje!

but najua aljandro alimuoa soledad! lol, thats all...
 
Wewe kiri tu hupendi tamthiliya/ movie.Kuna hobby zako unazofatilia may be mpira
lol.. sometimes kweli..

Mimi niko addicted kwenye Volleyball, football ilinitokea puani nikaachana nayo.. ni hapo tu!

Nimebaki kwenye series tu hasa za kikorea mf City Hunter, Jumong na mfululizo wake na series zote zenye action..

Hizi tamthilia zenye mapenzi mapenzi nahisi zimenitoka kabisa, sina mapenzi nazo tena!
 
Natofautiana na wewe, anaweza kuwa na hg n akawa alfa female, kuwa maza hausi hakukufanyi moja kwa moja kuwa alfa female.

Wengine wanazaliwa na alfa-personality, wengine wanajitengeneza.

Nakubaliana, kuonyesha insecurities kwa hg ni kumwonyesha kafikia level zako, sasa ni mshindani wako.

MamaBeata umenichekeshaje?
Ni true story hii?

Lakini I'm against kumwonyesha housegirl insecurities zako na mume wako. Heshima yako inaondoka. Atakuwa very confident na kujiona kama mke mwenza sasa.

Lakini ni kweli unaweza kubabaishwa na housegirl? Unfortunately Sijawahi kupata housegirl aliyenitisha.

Ndo madhara ya kuwa na urafiki mno na maHousegirl. She is supposed to know from the beginning who is the Alpha Female.

pole.
 
star tv nao wahuni sana sijui imekuaje wameikatisha ile tamthilia
Mheshimiwa Dialo TASAVALI WAMBIE VIJANA WAKO

Yaani humo studio nadhani kuna mtu kakaa kama boya siku waamue wafulize kuinyesha siku nyingine wasiionyeshe hata tbc inawashinda huwa wameniboaje wakishaona sehemu imekuwa nzuri basi watajishauuuwa kutuonyesha.
 
Jamani mbona Jmos na Jpili hatujamuona maya

kazi kweli kweli na hawa mabinti zetu
 
Nahisi ndo huyo.. niliiangalia mwaka 2005 kupitia TVT (tbc) by that time nikiwa std 7, sijui hata nikusimulieje!

but najua aljandro alimuoa soledad! lol, thats all...

duh!!,hujafika hata 25 una mke tayari,ha ha ha ha...
 
duh!!,hujafika hata 25 una mke tayari,ha ha ha ha...

huhuhuu! mkuu we nae kwa kubambikizia kesi watu hujambo!

wapi nimesema nina mke? (dah.. japo nina mzuka sana wa kuoa!)

Mkuu mimi bado denti, na hapa nasubiri kwenda field aisee..

narudia tena, sina mke na wala sijasema nina mke!


olraita mr Elungata?
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha utani utani unakuta unarudishwa kijijini kaa chonjo

tamthilia ni nzuri sana ila weekend hii wametukatili hawajaionyesha wameniudhi mno yaani maya ananichekesha moja na pozi zake

Mwenyewe wame ni bore ka nini
 
hahaha! ulivyoingea kihuruma mimi mwenyewe sikuona hicho kitangazo muda umefika kimya! niliboreka!

Acha tu Gemmy..sasa s mitaa ya home ijumaa umeme ulkatka dak5 b4 maya kuanza.haya jmos nkaisubr kwa hamu. Khaaaaaaaa😱😱 et wakaleta Dw na ktangazo chao hcho..mxyuuuuu, walnkera.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom