Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 8,047
Mwenzio haangalii bure tuu kama kuna mengine mazuri ambayo wewe unayaona ya kawaida na anayafanyia kazi, sasa na wewe usiangalie bure tuu kuna vya kujifunza na kuvifanyia kazi na ukaboresha sehemu ya familia yako kama hy hausegel anavyotaka kuboresha sehemu yake kupitia hy tamthilia