Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

kujiamini ndio kila kitu..jiamini mwanamke pia umwamini na mume wako.. hapo mtaenda sawa. kinyume cha hapo utakufa kwa pressure buree tamthilia ikawa tamthilia kweli shaurilo..
 
Hahahaaaa kuwa makini mama, ukizubaa tu umenyang'anywa!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kuwazoesha wadada wa kazi tv
usishangae siku unataka kutazama kipindi chako unamnyang'anya rimoti anakununia..
au anakwambia kabisa 'subiri kipindi hiki kiishe'

ndo maana wahindi na wazungu wanataka waje na kuondoka....

Mimi naona ngumu sana kumzuia msichana wa kazi asiangalie tv. Kwanza mara nyingi hio ndio starehe yao. Hana entertainment nyingine. Pia wengi wao wanatoka vijijini kwa hiyo wana ushamba nayo. Pili huwa naona si vema kumbagua hadi ajione yeye ni mtumwa tu. Napenda ajisikie na yeye ni sehemu ya familia.
 
mpaka hapo ujue yuko hatua nzuri, huenda mumeo keshashika hata kiuno kama siyo kupiga kimoja cha wimawima, take it from a man's point of view! no offense, maam!
 
lol!!!! labda njemba imeshaonjeshwa na binti kakolea, shurti perfume kikopo kizima!!!! Ukiona manyoya ujue kuku ameshaliwa...mama mwenye nyumba chunga mzigo wako.

kumbe na wewe umeshaona mkuu, picha inaonesha kabisa watu washasimamia show!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
too late nakwambieni, huyo dogo keshakalia mshedede!

halafu mama wa watu anaambiwa the girl is clever, yeye anafikiri ni mambo ya darasani. Anasahau kuwa mtu anaweaza kuwa na ziro darasani ila akakupindua kwenye utawala wako hapo home. kuwa mwangalifu mama bea.
 
nahs we hujacheka jamani..anataka ya maya na abby.ha ha ha ha. ..hatareeeeee n bora bb ukabe nafas yako na n afadhar umempa makavu mapemaaa

Hiyo tamthilia inaonyeshwa saa ngapi??itabidi niingalie nimuone huyo sir chief na maya lol.
Dunia hiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom