Natofautiana na wewe, anaweza kuwa na hg n akawa alfa female, kuwa maza hausi hakukufanyi moja kwa moja kuwa alfa female.
Wengine wanazaliwa na alfa-personality, wengine wanajitengeneza.
Nakubaliana, kuonyesha insecurities kwa hg ni kumwonyesha kafikia level zako, sasa ni mshindani wako.
We mama una mapungufu na ujiangalie maana hg ameishakufahamu mapungufu yako na ameishanuia kukutangulia kwa kila harakati.Wakati unajiandaa kuamka kutoka chini kwenda kuandaa chai unamkuta hg ameishafika jikoni zamaaaaaani.....muda si mrefu utalizwa wewe,kuna sehemu umelegea?
Jamani hi tamthilia imeisha ama? Toka juma mosi sijaona ikionyeshwa ama wamebadili mda?
Anaweza akaja mwingine hapendi mtoto, anamitego tofauti na Maya, utabadili wangapi?Play part kama mke, mwamini mkeo na kumuombea aepuke tama. Inawezekana kazini kwake kuna Maya mwingine.Right on....
Mh! hapo hata mimi ninakusapoti inawezekana Maya kamuamsha. Mpaka wanagongana jikoni kuandaa chai? Huyo baba hiyo chai aliomba kwa nguvu kama mwalimu anapouliza sawali darasani, au alimuomba house girl, au alimuomba mama, au ni utaratibu wa house girl kumpa chai baba, ila wife tamthilia ndio imemfungua akili? Au ni perfume ndio imemkumbusha wajibu? SIPATI PICHA ALIPOMPIGA MKWARA KWAMBA YEYE HAJAFA:A S wink:We mama una mapungufu na ujiangalie maana hg ameishakufahamu mapungufu yako na ameishanuia kukutangulia kwa kila harakati.Wakati unajiandaa kuamka kutoka chini kwenda kuandaa chai unamkuta hg ameishafika jikoni zamaaaaaani.....muda si mrefu utalizwa wewe,kuna sehemu umelegea?