Bbm Pin....

Bbm Pin....

tatizo wezi wa tandale wanatumia bisibisi
wakati wa masaki wanapita na gari wanakukwapua

ujue hata dizaini ya kuibiwa inashusha au kupandisha heshima!!

Masaki hakunaga wapiga loba?
 
ntakanunulia honi
nimeshanunua na rangi za goldstar kopo mbili tukapake kang'ae

nikachongeshe na viti?
viti vyake huyu mchaga ameweka kanga kama seat cover. Nahitaji viti vingine.
Hiyo rangi iwe ni ya kijani halafu ya silki.
 
Hupati namba ya simu wala email, mwendo wa bb pins tu! Afu kuna mtu ananiambia hapa kariakoo unapata blackberry kwa tsh 60,000 na inaingia line 4! Yaani before easter kitu cha bb ndani! Utanipa bb pin yako?

heheh bora mchina karahisisha ili kila mtuapate,
wabongo tunajua ku overdo mambo kuliko huko yalikoanzia,ulimbukeni mzigo

tatizo wezi wa tandale wanatumia bisibisi
wakati wa masaki wanapita na gari wanakukwapua

ujue hata dizaini ya kuibiwa inashusha au kupandisha heshima!!

Maeneo ya Masaki siku hizi kuna wezi wa loba za mbao
Hawa wa magari au pikipiki wapo kila kona sasa hivi ukibeba mkoba au simu imekwenda kama mwewe
 
heheh bora mchina karahisisha ili kila mtuapate,
wabongo tunajua ku overdo mambo kuliko huko yalikoanzia,ulimbukeni mzigo
Bwana eheee sisi tukikijua kitu inakuwa ni kero balaa
 
Back
Top Bottom