Bbm Pin....

hahahaaaa kweli, hata mie sina msije mkaniomba. Pia huko darisalama pale mbalamwezi beach club waliandaa party, eti bbm party, ukiwa na blackberry basi unalipia nusu kiingilio. ukiwa huna basi unalipa fulu. Ngoja na sie wa nokia torch tuandae ya kwetu
 
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...

Mhhh ndo wabongo walivyo
mambo ya kuombana email sijui no ya simu yameisha kwa sasa ni BBM pin
 
Heh, technolojia na mambo yake, itakuja na skype. Heri ya sikukuu mkuu
 
hahahaaaa kweli, hata mie sina msije mkaniomba. Pia huko darisalama pale mbalamwezi beach club waliandaa party, eti bbm party, ukiwa na blackberry basi unalipia nusu kiingilio. ukiwa huna basi unalipa fulu. Ngoja na sie wa nokia torch tuandae ya kwetu
Lol...kila ninayekutana nae ananiomba BBM Pin wakati mimi nina Nokia ya Tochi haya mambo haya khaaaaa...
 
  • Thanks
Reactions: BPM
The finest hujambo mkuu,
sikukuu ilikwendaje huko kwetu?
nimeona kama ni wewe unayekatakata mbuzi pale kijijini kwetu mkuu.
 
Heh, technolojia na mambo yake, itakuja na skype. Heri ya sikukuu mkuu
Geka kuna siku nilikutana na mdada mmoja katika kupiga naye stori mwishoni akaniambia "Naomba pin yako" nikasema ebooo Pin ndio nini....akaniambia BBM PIN nikasema tobaaa...
 
TF, mjini kubanana banaa, hebu changamka! Uzuri wa bbm chats inakuwa kama jf tu, hakuna details personal. Ngoja na mie nifanye buying a bb kuwa my new year resolution,lol
 
:lol: Kwahiyo next year namba ya simu haunipi tena
 
Geka kuna siku nilikutana na mdada mmoja katika kupiga naye stori mwishoni akaniambia "Naomba pin yako" nikasema ebooo Pin ndio nini....akaniambia BBM PIN nikasema tobaaa...

Huyu angekutana na Kongosho ingekaa sawa sana, nadhani kutumia blakberry ndo mpango mzima kwa sasa. Likizo ya sikukuu ikiisha nitakutafuta kaka,
 
usipoangalia hapa mjini wanakupasua kichwa.
Wanakuomba BBM pin huku wanakuletea kadi za michango
harusi
sendoff
kitchen part
ubarikio
graduation
ufunguzi wa nyumba(hapo mtu kajenga siku ya kuhamia party)
bride shower
baby shower
kibao kata

Huyu angekutana na Kongosho ingekaa sawa sana, nadhani kutumia blakberry ndo mpango mzima kwa sasa. Likizo ya sikukuu ikiisha nitakutafuta kaka,
 
usipoangalia hapa mjini wanakuasua kichwa.
Wanakuomba BBM pin huku wanakuletea kadi za michango
harusi
sendoff
kitchen part
ubarikio
graduation
ufunguzi wa nyumba(hapo mtu kajenga siku ya kuhamia party)
bride shower
baby shower
kibao kata

Kongosho habari za utokako maana niliambiwa ulitumbukia kwenye pipa la ulanzi
Kuja kuibuka umelewa hujitambui
Pole sana
Bado na besidei na unyago na graduation ya chekechea na kumunio duh balaa
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom