Bbm Pin....

yellowberry je unataka?

Afu tandale gram ya dhahabu 3500
ni hii hii ya buwagi au ya kiwira?
Hijalishi hata km ni green berry ili mradi iwe na bb pin tu basi!
Mie hapo kwenye dhahabu sio mpnz maana sina gari na siwezi kuvaa kitu changu alafu nitembee kwa mashaka lol!
 
Mkuu washangae tuu hao
Wakishindwa kulipa tuu au kuweka air time ya kutosha kitu kinafungwa
Wanaringa tuu na hizo BBM Pin zao wakiwa na air time za kutosha
Mtu una BB halafu salio buku mbili
Wacha nikae na torch yangu salio laki tatu
Hahahaha!wala hujakosea,wengi wanakuwa wamezishika km pambo tu zinakuwa zimefungiwa hata mwezi mzima!
Hivi vitochi vyetu hata km huna salio unakopa tigo na maisha yanaendelea raha sana!
 
Utashangaa mtu ana BB haina hata access ya net wala hizo BBM zao
watu wanaishia kutuma sms na kupiga au kupigiwa simu kama wana nokia torch
bora nikae na kanokia kangu bana full mtandao hata nikiwa kijijini
 
Yani naomba nimnukuu kaka yangu Fidel80;Hizi ni anasa tu!,zitapita zitakuja tekinolojia zingine!

Dah! nashukuru umemwona babu na stail yake ya leo,inawezekana ni maandalizi ya kuaga mwaka na kuanza mwaka mwingine kwa satil mpya lol!
 
kabisa
kama mwanzoni ilivyokua mtu anakuomba email
Then ikaja no ya simu
now ni BBm Pin
Itakuja nyingine nayo itapita
babu ni kiboko leo kila status ni zake na vikatoon
 
Nipo moshi huku kila mtu anataka kupiga picha akiwa ameshililia BB yangu. Nimemuonyesha mzee mmoja wa merereani BBM inavyofanya kazi amenogewa anataka tubadilishane anipe ki nissan duet!
 
nipo moshi huku kila mtu anataka kupiga picha akiwa ameshililia bb yangu. Nimemuonyesha mzee mmoja wa merereani bbm inavyofanya kazi amenogewa anataka tubadilishane anipe ki nissan duet!
mmmh wazee wa kwetu wote wanazo aisee
 
ntakanunulia honi
nimeshanunua na rangi za goldstar kopo mbili tukapake kang'ae

nikachongeshe na viti?

Back
Top Bottom