nasikia hata nokia tochi nazo zina pin zake ..hahahahaha..kwema mkuu@Mr Rocky
kwema kaka salama kabisa mtu chake kinokia cha tochi kiwe na pin aise watakuwa wameendelea sana aise
Last edited by a moderator:
nasikia hata nokia tochi nazo zina pin zake ..hahahahaha..kwema mkuu@Mr Rocky
teh bbm party unaalikwaga weye?Kuna picha unataka kubandika mpaka uulizie pin...
tecno hazina pin jamani?nasikia hata nokia tochi nazo zina pin zake ..hahahahaha..kwema mkuu@Mr Rocky
...duh..hizo zinazo ila zinaingiliana na Huawei..si unajua zote mchina wa kisasatecno hazina pin jamani?
...hapa mimi siiti neno....hii valentine hii nawish mpenzi wangu anipe blackbery
asiponipa tunaachana...duh..hizo zinazo ila zinaingiliana na Huawei..si unajua zote mchina wa kisasa
...hapa mimi siiti neno....
...mh...kisa bb...ili na wewe uingie ulimwengu wa bbm...na mambo ya kupeana PING..shem kazi anayoasiponipa tunaachana
teh bbm party unaalikwaga weye?
...whattsapp ndio mzukamie zangu "whatsapp" hiyo BBM ya wafanyakazi wa benki....
...safi...yeah...
hii valentine hii nawish mpenzi wangu anipe blackbery
hivi whatsapp unawekaje kwa phone., nataka na mimi niweke...whattsapp ndio mzuka
hivi whatsapp unawekaje kwa phone., nataka na mimi niweke
noo kwenye nokia banamchina na whatsapp, wapi na wapi bhanaaa!!!
noo kwenye nokia bana