Bbm Pin....

Bbm Pin....

Anybody knows Liquideep's song, BBM? Nlitaka niu'youtube afu niutupie hapa tuburudike kwenye huu msredi lakini TANESCO wamenikatili mpaka saa hizi kimya!
 
Anybody knows Liquideep's song, BBM? Nlitaka niu'youtube afu niutupie hapa tuburudike kwenye huu msredi lakini TANESCO wamenikatili mpaka saa hizi kimya!
Dah! We mkaree kumbe una kitu cha Liquideep BBM....just call on my BBM...sasa nakushauri tafuta ngoma nyingine ya Liquideep inaitwa ALONE utaikubali vilevile....
 
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...
hahaha, this z so true jaman wanaboaje mmh.
umenikumbusha yaliyonikita smwhere juz kat.
wagongo kwel bana achen izoo.
 
he he he he
kuna mmama mmoja ofisini
nilimsikia analalamikia hili
anasema lazima mumewe amnunulie BB
kachoka kuomwa pin ambayo hana

mie nimeamua kununua zile pin za kufungia nepi
anayeniomba nampa hiyo.
hiyo nimeipenda
 
Back
Top Bottom