Bbm Pin....

Bbm Pin....

eti naye siku hizi kaanza kunipiga mkwara kwa PM
jamani dunia ina mambo
nikaamua kunywea home

Aliharibu bana
mambo gani ya kupigana mkwara sikukuu kubwa hivi
hajui ndo muda watu wanakutana kuweka mambo ya mwakani sawa
 
mkuu upo miss you sana mimi namshukuru mungu kwa sikukuu hzi nilipewa kablackbery?

nipo aise
Sikukuu wamekomba mifuko yangu iko tupu kabisa
Duh niliona thread yako aise
Sasa nitumie pin yako basi
 
Hupati namba ya simu wala email, mwendo wa bb pins tu! Afu kuna mtu ananiambia hapa kariakoo unapata blackberry kwa tsh 60,000 na inaingia line 4! Yaani before easter kitu cha bb ndani! Utanipa bb pin yako?

Hiyo lazima iwe na pin nne pia....
 
Kwani wewe pm zako humu jf unagawa email na simu namba? Hehehe, ingia ulimwengu wa bb mkuu, hakuna kuanzishiwa uzi na Eliza wa Mbagala,lol
kumbe chat bila identities ni nzuri eeh!
Ngoja nitafute pin na mimi.
 
Kumbafu tanesco, wamekata umeme ilhali bbm yangu inahitaji umeme muda wote kama desktop, mwenye BBM pin ya Ngereja au badra anisaidie nimjulishe arudishe umeme kigamboni 😛hoto:
 
Sasa tandale mall si watakuibia hadi viatu kwa mchakato wa kupata bb ya bei hiyo? Unletee nyanya masalo kindoo kimoja ntaku-refund. Mi natengeneza kibubu kabisaa
ndo maana kwenye ile sredi ya mliman city
nimesema napenda sana Kariakoo mall vitu bei rahisi afu orijino

na sasa hivi nampango wa kwenda Tandale Mall
lazima bb orijino 24,000 line 6 na waranty ya 0seconds
 
Lol! Hiyo BB yako ukiwaandikia manufacturers watakuelekeza jinsi ya kutumia mafuta ya taa kama nishati
Kumbafu tanesco, wamekata umeme ilhali bbm yangu inahitaji umeme muda wote kama desktop, mwenye BBM pin ya Ngereja au badra anisaidie nimjulishe arudishe umeme kigamboni 😛hoto:
 
Sasa tandale mall si watakuibia hadi viatu kwa mchakato wa kupata bb ya bei hiyo? Unletee nyanya masalo kindoo kimoja ntaku-refund. Mi natengeneza kibubu kabisaa
Jaman mamito wangu king'asti na Kongosho mmenichekesha sana lol!
Mie nina elfu saba zangu huko tandale mall nitapata bb ya aina gani nikipata nitaweka bb pin yangu hapa kila mtu ani add lol!
 
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...
TF kwan kisamsun cha tochi hakina bb pin?
 
he he he he
kuna mmama mmoja ofisini
nilimsikia analalamikia hili
anasema lazima mumewe amnunulie BB
kachoka kuomwa pin ambayo hana

mie nimeamua kununua zile pin za kufungia nepi
anayeniomba nampa hiyo.
:hat:😛hoto:
 
TF kwan kisamsun cha tochi hakina bb pin?

Bora ningekuwa nina hiko kisamsung mimi natumia Nokia hiyo hapo chini
nokia1100.jpg
 
Back
Top Bottom