Mwambie aweke linkWapo sahihi kabisa..
Kwani mkuu nini maana ya neno "kanisa" kwa uelewaji wakoMwambie aweke link
Unajua usimamizi wa BBC au mnajiropekea tu.
BBC sio chombo cha kuandika ujinga, kinawajibika kwa walipa kodi wao huko,
Yaani BBC ikiri uwepo wa conspiracy theories bila ya ushahidi.
Unadhani wazungu ni wapuuzi kama sisi.
Regulations za U.K. kwenye maswala ya factual reporting.Kwani mkuu nini maana ya neno "kanisa" kwa uelewaji wako
Kwa hiyo BBC haiwezi kuleta propaganda ?Regulations za U.K. kwenye maswala ya factual reporting.
Na hakuna taasisi ambayo ipo scrutinised kwenye standard of reporting kama BBC.
BBC haiwezi andika habari ambayo awawezi itetea kamwe.
Waseme habari za kanisa la Freemason, unaelewa mkurugenzi anaweza kwenye parliament committee, na media regulators kadhaa kuthibitisha hao Freemasons wanao miliki hilo kanisa.
BBC unatakiwa kuwa trustworthy ya habari, wanachoandika hizo information ni woththy of academic research reference.
Ndio maana nina uhakika mleta mada hawezi leta hiyo source miaka 800, kwa sababu BBC haiwezi andika upuuzi huo.
BBC walikosea sana kuita jengo hilo kanisa. Mwandishi wake hakutumia muktadha wa neno muafaka. Bora angeita loji tu ingetosha na ndivyo linavyoitwaUtakuwa ni mental case wewe sio bure mzima.
Hivi unajuwa BBC na upholding standard zake.
BBC nakuhakikishia miaka 800 haiwezi andika ujinga kama huo.
We unadhani BBC ni chombo cha mzaha-mzaha kama hivi vyetu vinaweza andika ujinga tu.
Mmhh kwahiyo hiyo freemason Hall ya posta ni Lodge na hamkuwahi kutuambiaBBC walikosea sana kuita jengo hilo kanisa. Mwandishi wake hakutumia muktadha wa neno muafaka. Bora angeita loji tu ingetosha na ndivyo linavyoitwa
wanajua kabisa majengo ya ibada za kimasoniki yanaitwa loji na si kanisa/church. Wamepotosha kwa makusudi ionekane kuwa freemason wana makanisa. Kama kuna kanisa la freemason basi na msikiti wa freemason upo. Freemason wenyewe wanasema wanachama wao ndio hubakia kuwa wafuasi wa dini mbalimbali lakini hukutana kwenye maloji yao kupanga mambo yaoBBC ni kikundi cha magaidi imeingiliwa na Muslim Brotherhood hata Waingereza wenyewe wanaipiga vita.
soma hapo nje hawakuandika churchMmhh kwahiyo hiyo freemason Hall ya posta ni Lodge na hamkuwahi kutuambia