Kweli brother, unachosema ni sahihi kwani hata mkubwa aliwahi kusema kuwa sisi ni tajiri sana na tunaweza hata kukopesha wazungu. Hata sasa muda wa kuwaabudu wazungu umeshapita. Lakini unasahau kwamba bado bajeti ya nchi inawategemea hao hao unaowasema kwamba muda wa kuwaabudu umeshapita. Maajabu hayaKwaiyo kama watakua wanatuhalibia tuwaache tu kisa wanachangia %40 Katika bajeti yetu ??
Brother jipime kwanza uelewa wako kabla hujamshutumu mwenzako ile dhana yakuwabudu wazungu kisa vimisaada vyao imeshapita brother jitasmini .
Shida kuna watu wanataka kusikia vitamu tu, BBC wako neutral wala hawana kisa na nchi yetu!Uliiona habari ya Dreamliner? BBC wamemsifia kweli Magufuli. Hicho chombo hakina upande hata Putin anawaheshimu BBC.
Umenena vyema mkuuBBC imemchochea nani. Imechochea wafanye nimni?
Rais akitenda yaliyo sawa siyo habari kwa sababu ndicho tunachokitarajia toka kwake. Akifanya mabaya, ni habari maana hakuna anayemtegemea Rais, ambaye ana wasaidizi kibao, washauri wengi na resources mbalimbali za serikali, kutenda vibaya.
habari manake ni jambo losilo la kawaida. embu sema hapa tangu umeanza kumuita raisi .. amezungumza mambo mangapi ambayo sio ya kawaida kutamkwa na si tu raisi bali hata baba tu mwenye kujielewa.wakuu
kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania
kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano
kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais
Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?
Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?
wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu
ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Wewe naye! Badala ya kumsaidia huyo zero kutujuza huo uchochezi ni upi unamuunga mkono, au mko kundi moja?Kwaiyo kama watakua wanatuhalibia tuwaache tu kisa wanachangia %40 Katika bajeti yetu ??
Brother jipime kwanza uelewa wako kabla hujamshutumu mwenzako ile dhana yakuwabudu wazungu kisa vimisaada vyao imeshapita brother jitasmini .
Hujui maana ya habari wewe! Kuimba sifa, isipokuwa kwa Mola pekee, haijawahi kuwa habari hata mara moja zaidi ya utaahira.