BBC na uchochezi, itafutwe namna idhibitiwe

Kesi ya simba swala haiwezi tcra itaishia kudhibiti radio 5 na radio mbao zingine na sio BBC
 
Hivi kwa nini unataka "kauli za kawaida" zikose coverage?! Au unataka wabroadcast kauli mbovu mbovu tu? Hivi unajua unachokitaka kweli wewe mnyalu au unafanya utani wa ngumi?!
 
Kwaiyo kama watakua wanatuhalibia tuwaache tu kisa wanachangia %40 Katika bajeti yetu ??
Brother jipime kwanza uelewa wako kabla hujamshutumu mwenzako ile dhana yakuwabudu wazungu kisa vimisaada vyao imeshapita brother jitasmini .
Kweli brother, unachosema ni sahihi kwani hata mkubwa aliwahi kusema kuwa sisi ni tajiri sana na tunaweza hata kukopesha wazungu. Hata sasa muda wa kuwaabudu wazungu umeshapita. Lakini unasahau kwamba bado bajeti ya nchi inawategemea hao hao unaowasema kwamba muda wa kuwaabudu umeshapita. Maajabu haya
 
Kosa la uchochezi wazungu walishalifuta miaka mingi niPombe na wapambe wake ndio wanaamini uchochezi (ukosoaji)
BBC haiwezi futwa BBC sio radio free Africa don't plan with Queen's possession
 
BBC imemchochea nani. Imechochea wafanye nimni?

Rais akitenda yaliyo sawa siyo habari kwa sababu ndicho tunachokitarajia toka kwake. Akifanya mabaya, ni habari maana hakuna anayemtegemea Rais, ambaye ana wasaidizi kibao, washauri wengi na resources mbalimbali za serikali, kutenda vibaya.
Umenena vyema mkuu
 
Kunya unye wewe halafu mm niliyesema mavi yako yananuka ndio nakuwa mchochezi sio??! kweli we una akili kubwa tukuache.!!
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
habari manake ni jambo losilo la kawaida. embu sema hapa tangu umeanza kumuita raisi .. amezungumza mambo mangapi ambayo sio ya kawaida kutamkwa na si tu raisi bali hata baba tu mwenye kujielewa.
 
Kwaiyo kama watakua wanatuhalibia tuwaache tu kisa wanachangia %40 Katika bajeti yetu ??
Brother jipime kwanza uelewa wako kabla hujamshutumu mwenzako ile dhana yakuwabudu wazungu kisa vimisaada vyao imeshapita brother jitasmini .
Wewe naye! Badala ya kumsaidia huyo zero kutujuza huo uchochezi ni upi unamuunga mkono, au mko kundi moja?
 
Bbc iko nje ya "Sphere of Influence" ya Magufuli hivyo utashi wako huo ni kelele tu na kwa upumbavu kama huo wako ndio utapelekea nchi hii omba omba inyimwe misaada.

Na ni "Lunatics" kama wewe ndio huenda ni washauri wa watawala wa nchi hii na ndio maana hatuishiwi kusikia hotuba za ajabu ajabu zenye kulenga unyanyasaji.
 
Mleta mada ni mjanja na inaelekea wote mnaomshambulia hamjamuelewa na amefanya makusudi msimuelewe.

Hebu isomeni vizuri mada yake muone kwamba mnampinga mtu ambaye yuko na nyinyi.

Cc:
Once set
Hujui maana ya habari wewe! Kuimba sifa, isipokuwa kwa Mola pekee, haijawahi kuwa habari hata mara moja zaidi ya utaahira.
 
so simple.unakwea pipa na kwenda kuzima mitambo kule kenya au london.hahahahaaaa.mbuzi nyie.
 
Hivi BBC Swahili ipo London au Tanzania?

Alafu hizo media kubwa propoganda kwao ni kitu cha kawaida sana...

Na ukumbuke kwamba wao kwenye taratibu zao za utangazaji hawana kitu kinachoitwa uchochezi, wao kwao zinaitwa taarifa... huletwa na kuchambuliwa na watangazaji wao mahiri na waliyobobea...


Cc: mahondaw
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom