BBC na uchochezi, itafutwe namna idhibitiwe

wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
BBC wamekuwa wakimchafuaje rais kwa mfano?
 
Kweli brother, unachosema ni sahihi kwani hata mkubwa aliwahi kusema kuwa sisi ni tajiri sana na tunaweza hata kukopesha wazungu. Hata sasa muda wa kuwaabudu wazungu umeshapita. Lakini unasahau kwamba bado bajeti ya nchi inawategemea hao hao unaowasema kwamba muda wa kuwaabudu umeshapita. Maajabu haya
Unahisi huo mda utapita lini Kama tusipojitambua sasa na kuchukua hatua!!? Tukiendekeza fikra mgando hizi na kuacha kushughulisha akiri zetu itakula Kwetu.
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Rubbish
 
Back
Top Bottom