BBC na uchochezi, itafutwe namna idhibitiwe

wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
BBC mchochezi hata wewe haujui imechochea nini, ulikuwa usingizini unaota BBC inaiiba Dreamliner? Andika hoja yako tuijue ili tuone kama utafaa kuwa DC.
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki

Nilitegemea kuona maandishi yenye kuelezea ni habari zipi hasa zilizotangazwa na BBC zenye kuleta uchochezi lakini sikuziona kwenye bandiko hili.
 
Wadhungu wasipokuwa wachochezi kwa nchi za kiafrica watakula wapi?
Waache wajidumbue tumesha wapiga chini hiyo miimbecile!

Wake zake mjo mnatetea uovu. Hao Bbc wametangaza alichoongea mume wenu, mnakaaa kutishia badala ya kumnyima unyumba ili ajirekebishe. Udhaifu wa mume wenu ndio mfungie vyombo vya habari?
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki

Toa mfano wa habari ya kichochezi tutangie; isije ikawa ni ujinga wako tu sisi tufuate mkumbo!!!
 
Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
​
Kwa hiyo unataka kutuambia mkuu wa malaika mtarajiwa kagonga ukuta kwa BBC...mbona hii kali!
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Akili yako ilivyo finyu unafikiri BBC ni TBC Bora Mungu akunyime chakula kuliko kukunyima akili. Baadhi ya maccm wanafikiri Magufuli anaweza kuzifungia au kuzuia vyombo vya dunia zisiongee au kuandika mabaya yake Kama alivyofanya TZ
 
Sasa kila chombo cha kimataifa kinaonekana cha kichochezi kutoka DW-SWAHILI leo BBC-SWAHILI....
hopeless
 
Wao wanareport kama ilivonenwa voice record zipo,hawawezi jitungia sababu maadili yao yanakataza,hivo mmemeze tu.
 
Huna uelewa wowote wewe zaidi ya kuwa fuata upepo, kama hujui wazungu ndio wanachangia bajeti yenu ya kila mwaka kwa %40
Kwaiyo kama watakua wanatuhalibia tuwaache tu kisa wanachangia %40 Katika bajeti yetu ??
Brother jipime kwanza uelewa wako kabla hujamshutumu mwenzako ile dhana yakuwabudu wazungu kisa vimisaada vyao imeshapita brother jitasmini .
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Hebu nyoosha maelezo BBC wamechochea nini labda kwa mfano??
 
Back
Top Bottom