Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mbeya Bado sana kulinganisha na wapi Sasa labda Dar na Dom.

Mapato ya ndani ndio determinant kubwa ya Maendeleo ya watu na pi ndio hutumika kuweka miundombinu mingine ya Uchumi na kijamii kwenye miji kama Mbeya ambao Haina buck up kubwa ya Serikali.
Miji yenye back up ya serikali ni Mbeya, Arusha, Dodoma na Dsm, lakini mbeya pabaya
 
Miji yenye back up ya serikali ni Mbeya, Arusha, Dodoma na Dsm, lakini mbeya pabaya
Umeanza vioja Sasa 😁😁

Mbeya ingekuwa mbaya kama unavyosema Uchumi wake ungeporomoka kama Mwanza.Soma hapa Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mbeya Haina back up yeyote ya serikali,ingekuwa hivyo hakuna Mkoa ungekaribia Mbeya Kwa uchumi ukiacha Dar maana sisi ni wachapa kazi.
 
Hiyo back up ya serikali ambayo Mbeya inakosa nfo inafanya pawe nyuma
Mbeya inazidiwa na miji kama Dodoma, Arusha na Mwanza kimaendeleo. Halafu jinsi miundombinu ilivyopangiliwa ovyo ndo panaonekana pabaya. Kuna miji kama Moshi na Morogoro sio hata majiji na wala hayafikii Mbeya kwa GDP ila ni pazuri kuliko Mbeya
Achilia hapo, Tanga tu ni pazuri kuliko Mbeya

Kama watu wa Mbeya wana kipato kikubwa basi ni wachache ndio wanashikilia huo uchumi mkubwa ila wengi bado wanaishi nyumba za matope Kalobe, Juhudi, Isanga, Mabatini, hii Nzovwe, Iyunga stand yote mpaka Ikuti kwenye maeneo ya kuzunguka MUST nyumba ni za matope hadi aibu. Miji mingi ya Tanzania kuna maeneo ya uswazi ila sio mabaya kama ya Mbeya
Sasa kwani Mwanza haizidiwi na Dodoma na Arusha? 😁😁
 
Mwanza haina support ya serkali tu Dar inaweza kukalishwa bila shaka yeyote.
Kwa kipi hasa Cha kuikalisha Dar mlichonacho huko Mwanza?

Kwa mfano unataka kipi kifanyike Ili muikalishe Dar?

Mara 💯 ungesema Mbeya inaweza ipiku Mwanza Ina make sense 😁😁
 
Mwanza haina support ya serkali tu Dar inaweza kukalishwa bila shaka yeyote.
1.Operation ya DRY port fella
2.Operation ya Nyanzaga mining
3.Operation ya central market
4.Operation ya Jpm bridge
5.Operation ya MIA
6.Operation ya viwanda vya Nyanguge vinavyojengwa
7.Operation ya Mv mwanza
8.Operation ya Sgr, Dsm to Mwanza
Hizi zote zitaleta impacts kubwa kwenye uchumi wa mkoa wa mwanza
 
Mwanza haina support ya serkali tu Dar inaweza kukalishwa bila shaka yeyote.
Lugha ya kufichia uzembe na uvivu.Hakuna Jiji ambalo halina sapoti ya serikali kati ya Majiji 4 ya Tanzania.

Mbeya na Tanga ndio wanatakiwa kuongea hayo.
 
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Angalia mchangiaji mkubwa wa Kodi za Serikali.Huyo ndio Bora kuliko mwingine.
 
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Ni kukosa Heshima Kwa Arusha kulinganisha na Mwanza.

Arusha
Screenshot_20250731-010410.jpg
Screenshot_20250731-010349.jpg
Screenshot_20250731-010456.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20250812-203206_1.jpg
    Screenshot_20250812-203206_1.jpg
    395.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250812-203231_1.jpg
    Screenshot_20250812-203231_1.jpg
    239.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom