Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wewe ushajibiwa hapo,Arusha bado inachangamoti kubwa sana ila Mwanza changamoto yake ni jiografia ya milima.

Mwanza hiyo jirani na MOIL.
View attachment 3671544
Changamoto ya nini? Arusha na Mwanza wapi Wana Changamoto? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DdWBf_qiPbv/?img_index=1&stkn=MW9hdng5YjRtNWhyeA==

My Take
Ni aibu Kwa Mwanza kujisifia vigorofa vifupi kama hivyo,huwezi Kuta Arusha Wana post hivyo maana ni countless

View: https://www.instagram.com/p/DdWBp4jiPUG/?stkn=a2FzcGMxN3kyZWs1
 
Sasa huo ukumbi na hiyo stendi ni majengo yenye urefu gani?

Arusha inajengwa na serkali miaka nenda rudi na hakuna cha maana kilichobadilika.
 
Mwanza mkiona cranes ziko juu hivi semeni shikamoo Arusha 👇👇

View: https://youtu.be/F7f8YLkJVbk?si=LIRAHIIXnfkj4CKI

Mwanza sio wanyonge kama unavyodhania na hatujawahi kupewa mbeleko hata siku moja.
Screenshot_20260925_200729_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom