Kushindanisha Arusha vs Mwanza ni kuiingilia Mwanza kinyume na maumbile ๐๐๐๐
View attachment 3442821
View: https://www.instagram.com/reel/DNZ_jaxIW1a/?igsh=ZDFvdWFkY2E5enpv
Hawa watu wa ziwani wanatafuta furaha wakiangalia Zanzibar sa hivi imekua ya moto, Dodoma ndio Kila mradi upo huko wanatafuta pa kujifichia wanaona wajaribu kwa Arusha wakiangalia utalii na mikutano nayo umerudi wanapotea kwenye comment
Mwanza ni level ya Mbeya tena kwenye Gdp Bado Mbeya iko juu ๐๐