Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha tulikua tunakosa ukumbi wa kufanyia harusi mjini kati ukiachana na kumbi za mikutano, nmeona juzi dom kuna mdada kazindua unaitwa sapphire nadhan bonge la ukumbi, mwanza wanao kwa tunza pia uko vizuri, moro wanao cate hotel mpya, dar kuna mliman city pameshachoka sa hiv, mbeya wanatiaga huruma tu hamnaga ukumbi labda mvizie mbeya pazuri walevi wakitoka au nasoma 😂
Solution solved
Sasa Arusha tumewaletea kubwa lao zaidi ya b 6 zimelala hapo na kaz imeshaanza
Project ni miezi 12
Ukumbi mkubwa utaingiza watu 1000 na kuna ndogondogo nyingine
Parking ya kutosha upo city center opposite arusha mall
Mbeya ni jini kwa sababu nyingine. Ukianza kuangalia miundombinu sijui majengo Mbeya hamna kazi
 
Arusha tulikua tunakosa ukumbi wa kufanyia harusi mjini kati ukiachana na kumbi za mikutano, nmeona juzi dom kuna mdada kazindua unaitwa sapphire nadhan bonge la ukumbi, mwanza wanao kwa tunza pia uko vizuri, moro wanao cate hotel mpya, dar kuna mliman city pameshachoka sa hiv, mbeya wanatiaga huruma tu hamnaga ukumbi labda mvizie mbeya pazuri walevi wakitoka au nasoma 😂
Solution solved
Sasa Arusha tumewaletea kubwa lao zaidi ya b 6 zimelala hapo na kaz imeshaanza
Project ni miezi 12
Ukumbi mkubwa utaingiza watu 1000 na kuna ndogondogo nyingine
Parking ya kutosha upo city center opposite arusha mall
Una uhakika Mbeya hakuna ukumbi? Kwamba kuanzia kote kule Kwenye ukumbi wa Jiji,Eden Hotel au Tighimbe kote Huwa huoni kumbi?

Mbona mikutano mikubwa tuu ya kitaifa inafanyika Mbeya? Wanafanyiaga Nje? 😁😁
 
Mbeya inatakiwa tumuajiri mtu kama makonda alitangaze jiji
Mbeya kuna vitu vingi lakini haviskiki sijui shida ni umbali au nini
Picha iliyoko mbeya ni tofauti kila mtu akitoka mbeya ananiambia hakujua kama ni mji mkubwa ivo na una pisi za kutosha 🤣
 
Kuna kasumba imejengeka ya kijinga na wanaoongea hayo hata Mbeya hawaijui na wengine toka Wahame wamekalia ujinga wao ule ule as if Kila kitu kimesima 😂😂
 
How comes yawe Yale Yale wakati tutakuwa tumeongeza value ya Jiji?

Mwisho huwezi Kuta kitu kama hili Mwanza is Slum maana kumejaa mafukara 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DLBDYoeCedH/?igsh=NmpsM2t4YW5zaXFr

Na Mwanza CC rasmi imezikwa na Mbeya CC 😁😁

Hivi unajua hata siongelei mapato ya jiji. Hizo faida ambazo serikali ndo inafaidi sio hata ninachozungumzia
Mimi naongelea maendeleo ya jiji kama jiji kwenye miundombinu, majengo, makazi ya watu nk
Mbeya bado sana unaweza sema sio jiji
 
Unatia aibu sana ,Hilo duka kama la Kabwe Mbeya ndio huge project? 😁😁
Hujaelewa post yangu, hilo jengo linajengwa Arusha tena CBD, ndio nawauliza nyie wana Arusha bado mnaruhusu ujenzi wa Flemu kama hizi ndani ya CBD? Na NHC ndio wanatamba huge project in Arusha 🤣
 
Kuna kasumba imejengeka ya kijinga na wanaoongea hayo hata Mbeya hawaijui na wengine toka Wahame wamekalia ujinga wao ule ule as if Kila kitu kimesima 😂😂
Kasumba hiyo ndio hiyo hiyo mnayotumia kukandia kwa Mwanza na wakati Mwanza yenyewe hamuijui,
 
Tena huyo analalamika watu kuponda Mbeya. Mimi nimekaa Mbeya CC miaka 3 na mara ya mwisho kwenda ni mwezi May mwaka huu yani mwezi uliopita. Napajua vizuri sana
Ukimwambia huyo Mbeya hamna kazi anaanza kulalamika eti Mbeya hatupajui 😂😂
 
Hamna kazi gani? Kwa nini nilalamike? Miaka 3 uliyokaa na ulivyoenda majuzi ulikuta kazi ipo au hamna?

Mwisho nilalamike nini hasa?
 
Kasumba hiyo ndio hiyo hiyo mnayotumia kukandia kwa Mwanza na wakati Mwanza yenyewe hamuijui,
Nani haijui Mwanza? Kwani mahitaji kuijua Kila mtaa?

Sehemu yeyote tunaojua Kwa takwimu,video,picha na uhalisia wake.

Sasa Mwanza Kwa Arusha au Dom ni sawa na Kijiji Cha minada ya ng'ombe 😁😁
 
Hivi unajua hata siongelei mapato ya jiji. Hizo faida ambazo serikali ndo inafaidi sio hata ninachozungumzia
Mimi naongelea maendeleo ya jiji kama jiji kwenye miundombinu, majengo, makazi ya watu nk
Mbeya bado sana unaweza sema sio jiji
Mbeya Bado sana kulinganisha na wapi Sasa labda Dar na Dom.

Mapato ya ndani ndio determinant kubwa ya Maendeleo ya watu na pi ndio hutumika kuweka miundombinu mingine ya Uchumi na kijamii kwenye miji kama Mbeya ambao Haina buck up kubwa ya Serikali.
 
Hiyo back up ya serikali ambayo Mbeya inakosa nfo inafanya pawe nyuma
Mbeya inazidiwa na miji kama Dodoma, Arusha na Mwanza kimaendeleo. Halafu jinsi miundombinu ilivyopangiliwa ovyo ndo panaonekana pabaya. Kuna miji kama Moshi na Morogoro sio hata majiji na wala hayafikii Mbeya kwa GDP ila ni pazuri kuliko Mbeya
Achilia hapo, Tanga tu ni pazuri kuliko Mbeya

Kama watu wa Mbeya wana kipato kikubwa basi ni wachache ndio wanashikilia huo uchumi mkubwa ila wengi bado wanaishi nyumba za matope Kalobe, Juhudi, Isanga, Mabatini, hii Nzovwe, Iyunga stand yote mpaka Ikuti kwenye maeneo ya kuzunguka MUST nyumba ni za matope hadi aibu. Miji mingi ya Tanzania kuna maeneo ya uswazi ila sio mabaya kama ya Mbeya
 
Back
Top Bottom