Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha matusi hoja ujibiwa kwa hoja, wengine tumekaa kimya kwasababu naona kama Mwanza inashushwa heshima yake ku battle na mji wa Arusha, ushabiki utatawala zaidi ya uhalisia.
Usiingilie huyo punga tunajuana na huu ndio utaratibu wa kujibizana nae ,kwani hujasoma ukaona hoja?
 
Bora ingekuwa ugali,ni michembe na Mihogo wa dodoma 😆😆😆

Harafu hicho Kijiji Chao Cha Mwanza ndio wanafananisha na Arusha ,ona hizi takwimu hapa ni aibu tupu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DKglxB5tl9y/?igsh=bXU3eXQ0YTdkYWMw

Dar inaingia mara mbili kwa thamani ya uwekezaji kwa mkoa wa Pwani, je inamaana Pwani imeizidi Dar? Na hii ripoti ya TIC huwa ina badirika kila Mwanza na pia uwekezaji sehemu husika huwa unahathiriwa sana na mambo ya siasa, upepo wa siasa unapoelekea ndiko huko huwa wanavuta wawekezaji, ukiangalia hapo utaona mikoa ya Pwani, Dodoma pamoja na mikoa ya Kaskazini kama Arusha na Kilimanjaro inapata zaidi, ni kama hawamu hii imeamua kuwekeza zaidi huko hata investors wanapelekwa huko, hii hawamu si rafiki kwa mikoa ya kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini.
 
Sio imeizidi Bali Iko njiani kuja kuizidi.

Geita

View: https://www.instagram.com/reel/DK2ZKk4MYQ0/?igsh=eGdwdzZwdjQwY21z
 
Mleta mada toa kwanza hilo libendera la mayahudi wanaokunywa damu za watoto.

Halafu acha kufananisha Mwanza na hicho kijiarusha.

Dar
Mwz
Dom

Waliobakia ndio uwalinganishe na Arusha
Mkuu mie ni WA mwanza ila tuache kuingiza mambo ya Israel katika mambo haya tuna matatizo mengi kama nchi tushughulike na matatizo yetu mambo ya Israel tuwaachie wenyewe kikubwa tuwaombee wapatane my take Arusha haitakaa ikaifikia mwanza kwa lolote
Mleta mada toa kwanza hilo libendera la mayahudi wanaokunywa damu za watoto.

Halafu acha kufananisha Mwanza na hicho kijiarusha.

Dar
Mwz
Dom

Waliobakia ndio uwalinganishe na Arusha
Mie ni WA mwanza lakini tusiingize mambo ya mashariki ya kati naipenda Israel mwanza IPO juu zaidi ya arusha
 
Mleta mada toa kwanza hilo libendera la mayahudi wanaokunywa damu za watoto.

Halafu acha kufananisha Mwanza na hicho kijiarusha.

Dar
Mwz
Dom

Waliobakia ndio uwalinganishe na Arusha
Mkuu mie ni WA mwanza ila tuache kuingiza mambo ya Israel katika mambo haya tuna matatizo mengi kama nchi tushughulike na matatizo yetu mambo ya Israel tuwaachie wenyewe kikubwa tuwaombee wapatane my take Arusha haitakaa ikaifikia mwanza kwa lolote
Mleta mada toa kwanza hilo libendera la mayahudi wanaokunywa damu za watoto.

Halafu acha kufananisha Mwanza na hicho kijiarusha.

Dar
Mwz
Dom

Waliobakia ndio uwalinganishe na Arusha
Mie ni WA mwanza lakini tusiingize mambo ya mashariki ya kati naipenda Israel mwanza IPO juu zaidi ya arus
 
Wasanii wakubwa na kimataifa kama hawa kamwe huwa hawafanyi show vijijini na kwenye vimiji vya vidogo vya ajabu ajabu.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-07-09-25-55-98_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    Screenshot_2025-06-07-09-25-55-98_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    256.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_2025-06-07-09-23-10-29_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    Screenshot_2025-06-07-09-23-10-29_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    221.7 KB · Views: 31
  • Screenshot_2025-06-07-09-21-59-19_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    Screenshot_2025-06-07-09-21-59-19_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    229.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_2025-06-07-09-21-34-06_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    Screenshot_2025-06-07-09-21-34-06_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    250.7 KB · Views: 23
Mkuu mie ni WA mwanza ila tuache kuingiza mambo ya Israel katika mambo haya tuna matatizo mengi kama nchi tushughulike na matatizo yetu mambo ya Israel tuwaachie wenyewe kikubwa tuwaombee wapatane my take Arusha haitakaa ikaifikia mwanza kwa lolote

Mie ni WA mwanza lakini tusiingize mambo ya mashariki ya kati naipenda Israel mwanza IPO juu zaidi ya arus

Kumbe 👆🏻

Bhujiku ng'waka
 
Arusha tulikua tunakosa ukumbi wa kufanyia harusi mjini kati ukiachana na kumbi za mikutano, nmeona juzi dom kuna mdada kazindua unaitwa sapphire nadhan bonge la ukumbi, mwanza wanao kwa tunza pia uko vizuri, moro wanao cate hotel mpya, dar kuna mliman city pameshachoka sa hiv, mbeya wanatiaga huruma tu hamnaga ukumbi labda mvizie mbeya pazuri walevi wakitoka au nasoma 😂
Solution solved
Sasa Arusha tumewaletea kubwa lao zaidi ya b 6 zimelala hapo na kaz imeshaanza
Project ni miezi 12
Ukumbi mkubwa utaingiza watu 1000 na kuna ndogondogo nyingine
Parking ya kutosha upo city center opposite arusha mall
 
Attachments

  • Screenshot_20250617_134117_Gallery.jpg
    Screenshot_20250617_134117_Gallery.jpg
    111.1 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250617_134124_Gallery.jpg
    Screenshot_20250617_134124_Gallery.jpg
    162.2 KB · Views: 22
Back
Top Bottom