Braza kujenga kitu kama hicho Kuna vitu vingi wanaagalia kwanza Hali ya hewa makete Kuna baridi sawa hujakosea lakini ilo eneo wanalojenga kwa Arusha ni kwenye slopes za mlima meru ni moja ya sehemu zenye baridi nchini
Na ndio makao makuu ya tnhpp yaliwekwa tangu kipindi cha Nyerere na Kuna mashamba makubwa sana hapo wanafanya umwagiliaji wa kisasa
Pili Tz Kuna viwanja vya ndege 3 vya kimataifa Zanzibar, dar na kia hapo ni karibu na kia pia na ni karibu na chuo cha misitu olmotonyi ni rahisi kuconnect izo dots
Tatu Kwani ikijengwa Arusha inawauma nini😂😂