Bro sina muda wa kubishana ujinga.πππππ¨ Nimepigilia msumari kwenye jicho ππππ
Mimi ni Maji usiponinywa utanioga.
Tena acha kabisa maana utasababisha ionekane Magufuli hajafanya kazi Kwa sababu Samia Kwa miaka 3 ame double Kila kitu alichofanya Magufuli Kwa miaka 5 na vingine vipya.
1.Kwa hiyo brt ni madarasa kwamba ndani ya mwaka mmja na nusu itakuwa imeisha si ndio? Kwa hiyo hizi mvua zilizoanza mwaka Jana mwezi wa 9 Hadi Leo hii unaweza Jenga Barabara? Ulienda shule kusomea ujinga?Kuna muda unatakiwa UPUNGUZE USENGE UNAKERA.
1)BRT kuelekea Gongo la mboto mradi umeanza toka 2022 mpaka leo hii barabara zimechimbwa gari haziendelei.Je huko sio kukwama!?
2)Acha Usenge KIGAMBONI KILA SIKU IENDAYO YA MUNGU UMEME UNAKATIKA na hapa umekatika usiku tumelala giza umerudi saa tano.HUO UZALISHAJI MWINGI UNATOKA WAPI!?
3)Zile zilikua kipindi cha kampeni siasa nyingi wala silaumu na sitamlaumu Magufuli hata kama hajatekeleza,ila Magufuli alijitahidi kutimiza yale aliyosema akiwa ofisini,mlisema February mgao wa umeme hautakuwepo mgao ukaenda mpaka April,mkasema mitambo inazalisha kwa wingi hivyo umeme hautakatika tena,ila mpaka sasa umeme umekatika countless times.Mlisema February SGR itaanza kazi mkavusha June sasa mnasema July,FAKE PROMISES DAILY.
4)Hivi una habari kuwa Tanzania imeshuka toka LMI kuwa LDC!?
Hivi unajua shilingi ni miongoni mwa pesa zenye thamani MBOVU NA NDOGO AFRICA.
5)Vipi kuhusu mfumuko wa bei hususan sukari?
6)Unaonekana bado kijana mdogo,nakupa homework tembelea TRA huu mfano napenda sana kuutolea nenda ukaone watu wanavyofanya madudu hapo TRA,nidhamu hakuna kabisa ya utendaji.
Wewe kima huna hoja usitafute visingizio ndio yunahamisha magoli Kila mara πππDkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujizaBro sina muda wa kubishana ujinga.
Jadili na watoto wenzako huu utoto,SAWA!?.
SIKUFIKIRIA KUKU BLOCK ILA NGOJEA NIKU BLOCK.Wewe kima huna hoja usitafute visingizio ndio yunahamisha magoli Kila mara πππDkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujizaView attachment 2980503
πππππ¨ Block kabisa uone kama nitakosa maji au nitatoka jf,utakuwa umenisaidia kupunguza idadi wa wajinga.SIKUFIKIRIA KUKU BLOCK ILA NGOJEA NIKU BLOCK.
MARA MWISHO LEO NAJADILIANA AMA KUSOMA POST ZAKO.
KWAHERI.
Mimi nilisha muweka kwenye ignore list tayari. Huyo jamaa ni mwezi mchanga. Inainekana ni mkenya lengo lake kututoa kwenye battlePole sana kafuatilie historia ya Ethiopia vizuri utajua madudu ya huyo unayemsemea.
Pia una exposure ndogo sana na historia wewe.
Miaka hata ya nyuma wanawake walikua wakitawala ila hawakuonesha umahiri bali ni ubovu wa madaraka.
Guys sometimes tuandike kama ni watu tulio na maarifa,tu waungwana na tumekuzwa na wazazi kwa hekimaAwamu hii ni takataka kabisa tena kama nzi yule wa kijani.
Hao ni best Rushwa provider au wanatumiwa na vigogo Serikalini.
Now bring the fotos during these floods!Konza has extensive storm water drains. It has been raining heavily but no flooding in Konza
View attachment 2980350View attachment 2980351View attachment 2980352View attachment 2980353View attachment 2980354View attachment 2980355View attachment 2980356
Wee mzee roho mbaya itakuua.Now bring the fotos during these floods!
Utakuta wameharibu makusudi kabisa ili wafanye hayo.Pale airport mwezi wa 3 huu air condition hazifanyi kazi and no body cares, kule juu departure wamenunua ma air condition ya chini wakati uwanja una air condition zake zile pipes za juu, ukiuliza unaambiwa eti hakuna fundi nchini wa kukarabati, sasa kama ni hivyo si wangeleta mafundi wa nje? Lkn wameenda kununua ma air condition ili mradi wapige tu, awamu hii ikiondoka alafu akaja rais mwenye uchungu atawafunga wengi sana haki ya mama.
Aloo yani sio poa aiseee, ukiambiwa hii ni Africa huwezi amini kabisa, watanzania tuna akili sn na uzalendo wa hali ya juu mnooo.
Yule mzee ni kiande usimtilie maananiHuku ni kudhubutu kwa JPM kaka Sgr Nyerere dam,Jpm bridge,Magufuli mbezi ikulu Dom,uwanja wa ndege Dom serikali kuhamia Dom, Atcl,halafu kuna popoma anasema ni miradi ya show off hayo ni baadhi tu
Huyo huyo maushungi ndio amepandosha ceiling ya WiGo wa kazi za Wazawa kutoka bil.20 Hadi bil.50Kwani maushungi wako haoni