The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 38,152
- 83,561
Pale airport mwezi wa 3 huu air condition hazifanyi kazi and no body cares, kule juu departure wamenunua ma air condition ya chini wakati uwanja una air condition zake zile pipes za juu, ukiuliza unaambiwa eti hakuna fundi nchini wa kukarabati, sasa kama ni hivyo si wangeleta mafundi wa nje? Lkn wameenda kununua ma air condition ili mradi wapige tu, awamu hii ikiondoka alafu akaja rais mwenye uchungu atawafunga wengi sana haki ya mama.Kila kitu kina initiator na background.
Ungekua unasifia Samia kwa kuendeleza tusingekuattack, ila hii tabia ya kumfanya yeye ndio kaweka ndio tunakataa, alafu alivyoanzisha ndivyo hivyo.
Unaibu waziri-cheo nonsense wakati waziri mkuu aliyepo hana shida.
Migao bila sababu.
Mfumuko mkubwa wa bei na Matozo, mafuta kila mwezi kuwa tatizo.
Mwendokasi kujifia, vivuko kujifia.
Kutoa vitu sensitive kwa nchi kama bandari nje, ukiangalia Bandar ilishakarabatiwa kwa trillion.
Huu uchawa wa kijinga.
Kwamba hadi manara, mwinjaku, babalevo ndio wapewe airtime ya kuongelea mambo ya muhimu kitaifa?