Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 60,113
- 81,585
Hawaamini macho Yao!Utandawazi umekuja kuwaumbua vibaya sana😎
Hawaamini macho Yao!Utandawazi umekuja kuwaumbua vibaya sana😎
Nimewaambia walete list za those 5* hotels za Zanzibar wakashindwa, kazi ni tu kupayukapayuka.Hoja gani uko nayo wakati unaleta customer reviews kama star rating. Wewe rudi ukalale kwa maguesthouse maanake hizo ndio zako.
38 5 star hotels in Zanzibar vs 21 in Nairobi! End of story!Nimewaambia walete list za those 5* hotels za Zanzibar wakashindwa, kazi ni tu kupayukapayuka.
Uko sure hii Baraza Resort and Spa sio ya Mkenya?Mie nazungumzia ratings kichwa wewe.
Kama unabisha aya.
Hizo ndizo nazozijua zilizobaki nazozijua ni za nyota 4.5-4.8.
Nimeuliza wajuzi wamenitajia zingine tano za nyota tano.
1)Baraza resort.
2)Breeze .
3)Tulia
4)Zanzi
5)Riu.
Hizi nimeuliza wanaofanya kazi ila zile nilizotaja ndizo nazifahamu mimi kama mimi.
Tena sio 49?😂😂46 5 star hotels in Zanzibar vs 22 in Nairobi! End of story!
Now go to Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs Zanzibar and see where is Nairobi! Though ur list has half of the hotels not 5 star category, Nairobi is way behind Zanzibar!
See also here 38 5 star hotels in Zanzibar
View attachment 2960663
https://www.tripadvisor.com/Hotels-g482884-zfc5-Zanzibar_Island_Zanzibar_Archipelago-Hotels.html
vs 21 5 star hotels in Nairobi
View attachment 2960660
we kenge alieyepost luanda ni nani kama sie nyie punguani mmepost mkasema ni mombasa.Mkishashindwa mnaanza kuleta miji ya nchi zingine. Hapa tuko Dar vs Nairobi. Iweje mshinde mkipost mara Luanda, Addis n.k, kama mnataka ligi nao si mseme. Mnapenda kutafuta pa kujificha.
Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafananaHuyu Nyambura ni wa wapi?…
Huyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafanana
Ni swali tu ameuliza. Hivi mbona watu wa akili ndogo huwa mna hasira sana? Inferiority complex.Huyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎
Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisiHuyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎
Upuuzi mtupu😎😉Ni swali tu ameuliza. Hivi mbona watu wa akili ndogo huwa mna hasira sana? Inferiority complex.
Bro.. are you talking about Kenya 🇰🇪 or Tanzania 🇹🇿???.. sounds like yo got yourself confused… Btw Kenyans travel 10 times more than You…Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisi
sema jina la Kijaluo!Kwani hujui Nyambura pia ni jina la kitanzania?😎
Sometimes we see the real effects of Colonial borders….I thought it was just the Maasais on both sides.. I know Kuria are many in Kenya , they even have own county…hopefully we never go to war coz Kenya would pull a Putin and expand the border to protect our Maasai and Kuria people…take them out of an LDC..😜😃😃😃Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafanana
The Kurya of Tanzania will come and claim the Kuryas of Kunyaland as majority of Kuryas people live in Tanzania!Sometimes we see the real effects of Colonial borders….I thought it was just the Maasais on both sides.. I know Kuria are many in Kenya , they even have own county…hopefully we never go to war coz Kenya would pull a Putin and expand the border to protect our Maasai and Kuria people…take them out of an LDC..😜😃😃😃
Hakika wewe bado ni kijana mdogo, una mengi ya kujifunza😎😉Sometimes we see the real effects of Colonial borders….I thought it was just the Maasais on both sides.. I know Kuria are many in Kenya , they even have own county…hopefully we never go to war coz Kenya would pull a Putin and expand the border to protect our Maasai and Kuria people…take them out of an LDC..😜😃😃😃
Wachana na huyo mzee hajielewi. 😂 😂 😂Tena sio 49?😂😂
Nakuongezea; pia Wajaluo (My beautiful tribe)wapo wengi sana Mikoa ya Kanda ya ziwa.........kwa experience yangu ninawafahamu Wajaluo wa Kenya wanaokuja Tz ili wapate unafuu wa maishaSometimes we see the real effects of Colonial borders….I thought it was just the Maasais on both sides.. I know Kuria are many in Kenya , they even have own county…hopefully we never go to war coz Kenya would pull a Putin and expand the border to protect our Maasai and Kuria people…take them out of an LDC..😜😃😃😃