Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 13,980
- 17,648
Dunia nzima ni Tanzania?Dunia nzima Leo inaangalia mechi na ww utaamka a kupitia Azam TV get ready plz 🤣🤣🤣
Dunia nzima ni Tanzania?Dunia nzima Leo inaangalia mechi na ww utaamka a kupitia Azam TV get ready plz 🤣🤣🤣
Kwani Ile AFCON mulienda kuomba iko chini ya Nani mama Ngina ??😅😅😅😅Dunia nzima ni Tanzania?
Ni emwambia akinionyesha Skysports analyzing CAF matches aniambieAzam TV ndio nini toilet boy?
Hawana exposure kabisa, kila siku kutupigia kelele na mashindano ambayo hayana maana kwenye dunia.Dunia nzima ni Tanzania?
Umetoka kwa CAF Champions league umeenda kutafuta usaidizi kwa AFCON?Kwani Ile AFCON mulienda kuomba iko chini ya Nani mama Ngina ??😅😅😅😅
Hiyo CAF champions league is not even among top 1000 football tournaments in the world.Hawana exposure kabisa, kila siku kutupigia kelele na mashindano ambayo hayana maana kwenye dunia.
AFCON ni tofauti na CAFCL, the latter ni tournament ndogo Sana kwenye dunia ya Leo.Sasa mbona wanalilia kuhost AFCON na iko chini ya CAF! 😂😂😂
Huyo nyang'au huwa ana mambo ya kipuuzi sana😎Anakwambia CAF haijulikani 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mwenye ananda CAF Champions League.Huyo nyang'au ana mambo ya kipuuzi sana😎
Happy now 🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka muone media za mabwana zenu ndio munafurahAnother freelancer. I’m waiting to see Citizen TV, KTN, NTV, BBC, CCN, Blechor Reports, Skysports etc talking about CAF matches za Tanzania.
Mwambie CAF Champions League is not even considered a serious football tournament.AFCON ni tofauti na CAFCL, the latter ni tournament ndogo Sana kwenye dunia ya Leo.
Happy now 🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka muone media za mabwana zenu ndio munafurah
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1767581421747531886?t=B2fxlyB-XeBVDRQ0jhXKMA&s=19
Fuatilia mechi hii ya CAF champions league hapa Livesports088 - Football Online, Football Live Stream, Football ScheduleHakuna mwenye ananda CAF Champions League.
Mvumilieni plz nendeni nae taratibu akikua ataacha ni maumivu anaumia Sana🤣🤣🤣Huyo nyang'au huwa ana mambo ya kipuuzi sana😎
Now days Nairobi own BBC 🤣🤣🤣🤣🤣Asante kwa BBC Swahili located in Nairobi with a responded in Tanzania. It’s just an highlight, even watanzania wakenya hawataki kuiongelea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwambie CAF Champions League is not even considered a serious football tournament.