Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520

This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526

Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.

View attachment 2908528

Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR house in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Kitu special kwenye hz picha ni miti tu. Ukienda kilimanjaro na Arusha utakutana na nyumba zinazofanana na hzo na mazingra kama hayo kila kona.

Dar haiwez kuwa na mazngira kama hayo, its geograpghy.
 
Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not just the product.
 
Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not jn
Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?

Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.
 
Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520

This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526

Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.

View attachment 2908528

Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR bungalow in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Umeona hiyo nyumba hapo chini???
Hizo kuna mwarabu anamiliki hapo kigamboni kizota na ndio aliyetuuzia nyumba ya vyumba vitano ila sio ya ghorofa
Hiyo Tz ni 150 milions Tsh.
Je Kenya unaweza ukapata nyumba ubora huo kwa gharama kama hii yetu???
NADHANI HAPO UTAKUA UNAELEWA NINI NALENGA MATAKO WEWE
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-19-00-15-58-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-19-00-15-58-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    185.7 KB · Views: 3
Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?

Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.
Unajua huyu jamaa ana kichwa kigumu sana I wonder sijui shule kasomea ujinga.
Kule nimetoa mfano an example ila jamaa anapayuka na kufoka.
Tanzania nyumba zake zina ubora naweza sema kuliko hata za Kenya ila gharama nafuu kuliko za Kenya.
Hicho ndicho nilichomaanisha ila jamaa haelewi .
 
Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not just the product.
Hata Tanzania location ina matter kuuza nyumba ila haifikii gharama ya mnavyouza ninyi.
Kote Masaki ,Mikocheni n.k n.k uza nyumba uuzavyo ila haifikii gharama za Kenya, kenya gharama ziko juu na nyumba zina ubora na ni imara huku tunajenga kwa kulaza tofali kwa asilimia kubwa.
 
Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?

Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.
Shida yenu kawaida huwa kiingereza. Nimeongelea mtaa wa Ridgeways kwa ujumla, Sio hizo nyumba. Khaa! Alafu unapata bado mnaharibu kusahihisha grammar ya mtu humu. You all need English classes for real.🚮🚮
 
Hata Tanzania location ina matter kuuza nyumba ila haifikii gharama ya mnavyouza ninyi.
Kote Masaki ,Mikocheni n.k n.k uza nyumba uuzavyo ila haifikii gharama za Kenya, kenya gharama ziko juu na nyumba zina ubora na ni imara huku tunajenga kwa kulaza tofali kwa asilimia kubwa.
There's something called location and status. Price of a house in Tandale and Masaki can't be the same hata kama nyumba ni exactly the same.

Do you know that ukihamisha nyumba ya makuti from Tandale to Masaki price yake itapanda almost 4 times?
 
Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520

This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526

Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.

View attachment 2908528

Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR bungalow in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Unachukua nyumba za Uswazi Tanzania versus za Karen 😂😂😂
 
Kitu nimegundua na huyo jamaa hakuna anachoelewa. Nimeskia akisema ati nyumba za Tanzania ni Bora kuliko za Kenya, ebu mwambie akuonyeshe supporting evidence 😂🤣
Hivi kuna cha kubisha hapo? Like seriously unalinganisha nyumba za Tanzania na Kunyaland? Utakua Kichaa, nyumba yoyote nzuri Kunyaland lazima aliyejenga ni mtanzania
 
Kitu nimegundua na huyo jamaa hakuna anachoelewa. Nimeskia akisema ati nyumba za Tanzania ni Bora kuliko za Kenya, ebu mwambie akuonyeshe supporting evidence 😂🤣
Amesema 3BR bungalow ni 10M Kenya, nikamuambia hiyo statement ni ignorant Sana juu kuna a large array of houses that qualify to be 3BR bungalows yet utapata zenye zinacost less than 3M na zenye zinacost more than 100M, akajibu eti mimi naongelea gorofa naye hajataja gorofa, nikamwambia naongolea bungalows hadi nikampa examples, sahii anebadilisha goli eti alimaanisha nyumba Tanzania Ni cheap in general kuliko Kenya .....amesahau mjadala ulikuwa juu ya ignorant statement yake eti 3BR costs @0M in Kenya.

Shida yake hujifanya anaelewa Kenya Sana wakati knowledge yake inaishia kijijini mwake. On a separate post amepost data from statistica ya wanaokufa from malaria Kenya akisema malaria sii ugonjwa wa kuuwa mtu eti Kenyan medical sector itakuwa chini Sana. Nimemquotia from the same same source kuwa Tanzania Ina vifo karibia Mara mbili ya Kenya vya malaria anasema eti data Ni wrong Kisa amefanya kazi sector ya afya hajaona mtu akifa malaria.
Yani jamaa mjinga Sana. Nimemweka mwenye list ya wajinga akina Mwarabu Bonoko, Fake Bondi na Venus Flytrap.🤣🤣🤣
 
Ni kama haelewi the meaning of location and status. Give him an example kutumia mineral water ama soda.

Kwa kibanda chupa ndogo ya maji 20 bob
Kwa club the same water will cost around 70 bob
In a 2* hotel hiyo maji will cost around 100 bob
In 4* and some 5* hotels that water will cost around 200 bob.

Mulize pia kama bei za nyumba ni same Tandale na Masaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom