Lamamayeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hivi ndio average wakenya huamini
View attachment 2908475
Hawa jamaa nimewavulia kofia kumbe ni matapeli hivii??!!!
Olduvai Gorge ipo Kenyaa!??
Ati niniii!?
Lamamayeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hivi ndio average wakenya huamini
View attachment 2908475
Purchasing power parity.Peoples purchase parity
ZUKU NDIO UTUMBO GANI??Siku Azam itafikia Zuku kuja tuongee.
Na startimes ishaanza kupoteza soko soon Azam inaongoza.1. Startime
2. Azam
3. DSTV
Sijawahi kusikia Zuku hapa mzee? Kwani huko kenya mnatumia zuku?
Si ujanja. I'm just trying to educate your thick head. Try to know the meaning of every word before exposing your stupidity here.Ukiambiwa ni upuuzi mtupu ni vizuri kuchutama, acha kujifanya mjanja😎
Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .Nani ametaja gorofa?
There are bungalows worth hundreds of millions and there are bungalows worth one million Kenya shillings. You have the tendency of speaking nonsense and forcing the narrative that you're not being understood.
You're a fool.
This house is very ugly.Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .
Labda nikutolee mfano utaelewa.
Nyumba kama hiyo Kenya inauzwajwe???
Nipe jibu.
Huwenda ukaelewa kwa mifano maana we ni akili mgando .
Nishamjibu mwenzako sitakupa jibu.
Shida iko wapi wewe construct ya kiswahili tuone.Jamaa ni fala sana. He can't even construct a single English sentence yet he is here talking about grammar.
Between you and WHO tumaini nani?Hakuna vifo vya malaria bongo.
NIMEFANYA KAZI SEKTA YA AFYA KAMA AFISA TABIBU HAKUNA VIFO VYA MALARIA CASE CLOSED.
Umeambiwa ujibu nyumba kama hiyo kenya ni shingapi??This house is very ugly.
Haisaidii kitu.Because I have exposed your stupidity ama?
KWAHIYO KILA TAARIFA WHO WALIOTOA NI KWELI??
Hivi ndio average wakenya huamini
View attachment 2908475
Jamaa bado ana yale mawazo ya kizamani.😎Shida iko wapi wewe construct ya kiswahili tuone.
WapuuzJamaa bado ana yale mawazo ya kizamani.😎
Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .
Labda nikutolee mfano utaelewa.
Nyumba kama hiyo Kenya inauzwajwe???
Nipe jibu.
Huwenda ukaelewa kwa mifano maana we ni akili mgando .
Kwa hivo ikija Kenya statistica wanasema ukweli ila ikija Tanzania wanakuwa waongo?Hakuna vifo vya malaria bongo.
NIMEFANYA KAZI SEKTA YA AFYA KAMA AFISA TABIBU HAKUNA VIFO VYA MALARIA CASE CLOSED.
Njonjo alikuwa hataki kupanda ndege inayoendeshwa na mtu mweusi. Self denial ya hawa jamaa zetu inasikitisha sana.Nasikia bwana Kamau wa Muigai alikuwa ana support apartheid regime kipindi cha waafrika kupigania uhuru.
Ndio maana kuna mbunge wa kenya alikuwa anajiita mzungu. Hata leo wakena wanajiita wazungu 🤣 🤣 🤣