Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 8,692
- 25,180
Uhaahahggaaha heb post tena tuone 🤣🤣
Uhaahahggaaha heb post tena tuone 🤣🤣
Utakufa kwa wivu MzeeWhy should a terminal doing less than 1M annual passengers bother me. Hiyo hata mchele gunia nihesabu moja moja😂😂
Oooh, unataka nipost tena? I can post these toilets a million times but still I won't get tired😂😂Uhaahahggaaha heb post tena tuone 🤣🤣
Nioneshe wapi kaongopa
Wivu? Ati nionee Tanzania wivu? Not in this world or the next😂Utakufa kwa wivu Mzee
Asante kwa kukubali kwamba Magufuli hajawahi kuletwa huko kwenye shit hole asante sana.Mngemleta magufuli Kenya mapema, mambo hayangekorogeka... Tafakari hayo!
Empty words as usual. Let's see what the statistics are saying about your lazy country 😂😂Nioneshe wapi kaongopa
Je, mna electrifitried SGR?
Je, mna BRT system?
Je, mna migodi kama Tz?
Je, mna big dam kama Tz?
Je, mna barabara ndefu na nzuri kama Tz?
Je, mna EACOP?
Je, mna bullet train ambazo sisi zitakuja?
Je, hamna slums everywhere?
Je, mna maji ya kutosha kama Tz?
Vingine ngoja niache tu.
Magufuli aliletwa Kenya kutafuta matibabu. Can I list for you some prominent Tanzanians that usually come to Kenya for treatment? Even your minister of Health alikuja kubembelezana tuwatibu tu watanzania bila kuwasumbua. Kenya is like Europe to Tanzanians.Asante kwa kukubali kwamba Magufuli hajawahi kuletwa huko kwenye shit hole asante sana.
Wivu utakuua mzee, kwa bahati mbaya.. sisi ndio wakali wa hizi kazi, we ar going to triple your number of SGR stations with different marvelous designs.. for example 👇Oooh, unataka nipost tena? I can post these toilets a million times but still I won't get tired😂😂
View attachment 2443030
Imerudi na render tena?🤣🤣😂🤣 Hata Pugu had this render but ona what's on the ground. Angalia Render ya Dodoma station then compare with the what's coming up on the site ucheke kidogo 😂😂🤣Wivu utakuua mzee, kwa bahati mbaya.. sisi ndio wakali wa hizi kazi, we ar going to triple your number of SGR stations with different marvelous designs.. for example 👇View attachment 2443034View attachment 2443036View attachment 2443037under way in Mwanza..
Hii ndio ilikua comfort zone yenu tukilinganisha SGR yetu na yenu.. and guess what, you ar no sooner gon have nothing to compete us when its comes to SGR ..🤣🤣🤣. Nayajua maumivu unayopitia pole sana
We ar your threat, wivu utakuua kijanaWivu? Ati nionee Tanzania wivu? Not in this world or the next😂
Tatizo lao ni ushamba na hawajui sisi tulianza kitambo.
Tanzania ingekuwa threat ya Kenya hatungekuwa tunacontrol Tanzania vile tunacontrol currently 😂😂🤣We ar your threat, wivu utakuua kijana
Hizi umokota wapi.? 🤣🤣🤣. Halaf mbona ni muongo sana .? Leta hiyo renda ya DODOMA yenye ni tofauti of what's happening in the ground right now, nikuumbue ..Imerudi na render tena?🤣🤣😂🤣 Hata Pugu had this render but ona what's on the ground. Angalia Render ya Dodoma station then compare with the what's coming up on the site ucheke kidogo 😂😂🤣
Render ya Pugu🤣
View attachment 2443044
What's on the ground 🤣
View attachment 2443045
sasa btn renders and what is on the ground at Pugu, Morogoro, Kilosa and Dodoma stations, which stations r better than the others?Imerudi na render tena?🤣🤣😂🤣 Hata Pugu had this render but ona what's on the ground. Angalia Render ya Dodoma station then compare with the what's coming up on the site ucheke kidogo 😂😂🤣
Render ya Pugu🤣
View attachment 2443044
What's on the ground 🤣
View attachment 2443045
Mkuu ulimpiga acrobatic mpk akakimbia
120 millions ni pesa ya kununua gari 🤣🤣🤣Tanzania ingekuwa threat ya Kenya hatungekuwa tunacontrol Tanzania vile tunacontrol currently 😂😂🤣
View attachment 2443049
Both of them are ugly. Infact they both look like cowsheds.sasa btn render and what is on the ground at Pugu, Morogoro and Dodoma stations which stations r better than the others?
kumbe serkali ya ruto sio ya kuchezea naaniiii..! wacha raila ajaribu kesho alafu tuone sinema ya bure
View attachment 2442980
RenderHizi umokota wapi.? 🤣🤣🤣. Halaf mbona ni muongo sana .? Leta hiyo renda ya DODOMA yenye ni tofauti of what's happening in the ground right now, nikuumbue ..