Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kwani kichaa akiwa na dharau nani ana mda nae....linchi liko hovyoo km vyoo vya stendiqUnajilisha upepo bure,vumilia yupo hadi 2030..
Matatizo ya wananchi yule dhalimu aliyamaliza achilia mbali kuyapunguza?
Basi mnavyomtajaga yule Hayawani utadhani ndio aliseti standards za uongozi,huwa nawadharau Sana.