ni wehu sanakwann helicopter za kenya tu? sababu wananunua mtumba
Hongera.
Jaribu hii experiment kwa Chinese first class SGR ya garimoshi lenu tuone ipi superior! Tumalize ubishi once for all!Hongera.
Hongera.
Aroo ngijangija halina msalie mtume! Simu inaweza kutupwa nje garimoshi!tunaomba na nyie muweke simu juu ya chupa kama ilivyo kweny video
simu isipoanguka kwenye treni yao mm naenda kuishi jamaica😂😂😂😂tunaomba na nyie muweke simu juu ya chupa kama ilivyo kweny video
kwann helicopter za kenya tu? sababu wananunua mtumba
Kumbe ni maswala ya chuga vs dsm? kumbe ni chadema? huna lolote wewe mshamba tu unatembelea vijii unasema ni miji, miji ya mfano ipo africa? ungefika hata Cape Town au Cairo ningekustahi ila huna lolote wewe limbukeni tuOyaa wadaslam mnazingua ..kubalini nairobi ni pazuri mara kumi kushinda dar ..pale ni international city wakati dar bado ni "kijiji cha wavuvi" hahaha siyo mimi walisema wale "first grade" a.k.a watu weupee ..sisi ni nani tubishe😀😀😀
Uko kwa mataifa hawajui kama kuna kajiji kanaitwa dar ..wewe uko zako uko buza au tandale kwa tumbo kazi kupumuliana hewa chafu na mitaro yenye kinyesi imepita katikati ya nyumba eti unaanza kuiponda Nairobi, pumbavu kabisa..
Wewe pangu pakavu hata nje ya bongo ujawahi kwenda unaanzaje kufananisha Nairobi na dirty city kama dar?? Zile slums pengine ni mkakati zimeachwa huoni Hollywood wanatimba kucheza movies nyingi tu maeneo yale?
Nyie mmekalia kujazana ujinga tu huku eti Dar ni zaidi ya Nairobi pumbavu kabisa.. tuulize sisi tuliosafiri miji kadhaa hapa Africa, siyo unaleta vipicha vya flaiova mmedanganywa na raisi wenu viflaiova vya kilometer mbili mnafanisha na Nairobi.
Safisheni kwanza hicho kijiji cha wavuvi punguzeni mafoleni ya kikupambavu siyo mnajisifu nayo ..mnapoteza muda tu
Hii serikali ya ccm haiwezi kufanya dar ikawaya kimataifa ..mtaendela kujazana ujinga tu hapa.
kwann helicopter za kenya tu? sababu wananunua mtumba
Inakua kama mashine ya, kuchekecha ulangaAroo ngijangija halina msalie mtume! Simu inaweza kutupwa nje garimoshi!
Hi! kumbe nilidouche bug la kusafisha mitaro ya kwenye viguest vya uswahilini? ungekua mtu wa kuzunguka hata na gari yako au ndege wa kulala mahoteli kama serena n.k kwenye pc kali ningekuona wa maana kumbe nilisenge fulani la kuhesabiwa mabao . Wee boya huwezi kuuona uzuri wa dar hata ungepiga dili la m50. Unakosa m40 na unaona umekosa kitu kikubwa? Wewe hata kuwepo JF ni disco limeingia masaiHujui chochote wewe nimefanya kazi ya kuwa tan boy nimezunguka na ma truck ya mizigo miaka ya 2016 had 2018 nimetembea miji kadhaa kama Maputo, Lusaka, Bujumbura, Kigali, Nairobi ndo usiseme, Hapo dar nimekaa sana hakuna lolote labda stahere tu nimekula dada zenu sana tu ..Kampala, Jinja, Entebbe, Kisumu, Mombasa, Lamu pote huko Kinshasa-Congo nimepeleka mahindi huko sana tu ..na sijaona jiji kama NAIROBI aise ..piga ua DAR ni takataka tu..
Niliachaga iyo kazi baada ya kutaka kupiga dili moja la kutorosha sukari (ile ya viwandani) tani kadhaa ambapo ningepiga kama M35-40 ila yule mzee wa kizaramo wa Daslam mpumbavu sana alijikuta ameshika dini hadi leo ni masikini na kampuni imemtelekeza ..alizingua kinoma dah ..leo ningekuwa mbali sana kimaisha.
Tukisema kenya sgr ni upgraded Tanzania mgr wanabishaAroo ngijangija halina msalie mtume! Simu inaweza kutupwa nje garimoshi!
Kwani Millard Ayo ni mchawi? Amepata hii habari haraka sana vipi?
Naona conversations kati yenu zinaenda fresh, huyo ndio perfect match for you. Hongereni sana hii ndio JF bwanaLakini bandwagons huwa hawapendi ukweli.Ccm imewabeba ufala sana hadi ni ngumu kwao kuona ukweli.The problem with them is that they are their own problems