komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
Kwn huaga ukienda ku lease unapewa bure..nieleze vizuri jomba, halafu pia ku renew ni bure au vp...
With facts, sitaki maneno ya vijiweni
With facts, sitaki maneno ya vijiweni
Unaona ulivyo hutumii akili??
Si kuna kitu payment hapo kwenye leasing ??
Na ukishindwa kufanya payment on leasing nn chafuata km sio kupokonywa??
Kumbe akili zako fupi hivi???