Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn huaga ukienda ku lease unapewa bure..nieleze vizuri jomba, halafu pia ku renew ni bure au vp...

With facts, sitaki maneno ya vijiweni
Unaona ulivyo hutumii akili??
Si kuna kitu payment hapo kwenye leasing ??
Na ukishindwa kufanya payment on leasing nn chafuata km sio kupokonywa??
Kumbe akili zako fupi hivi???
 
Leo ndo nimegundua jinsi kenya kuna mbumbumbu wengi sana,eti mtu anayetumia kigezo cha lugha ya kiingereza kama mtu aliyeelimika,unamchukuliaje???..
Madarasa 12 unasoma english language lakini bado tu ni mwendo wa BROKEN ENGLISH kwa kwenda mbele,
 
Kwn kenya ndio haina community land...wacha kujeuza gear hewani...

Mimi naongelea umilikaji wa ardhi yako binafsi, hamna cha mambo ya community land hapa...

Tunaongelea umilikaji wa tittle deed hapa...mambo na community land hta sisi zipo na hta tumeshatithishwa haswa
We jamaa ni mkumbafu hivi??
Kuna umilikaji wa aina mbili umeusoma vema ??
Punguza upumbavu.
Kuna umilikaji ardhi wa kimila yani km mm mali yangu mwanangu aja kurithi.
Na kuna umilikaji ardhi wa hati.
Nikakutajia kuhusu NHC mathalan utamiliki ardhi yao kwa namna ya pili hapo juu.
Wewe mbona mgumu kuelewa??
[/QUOTE][/QUOTE]
 
Sijakataa kuna slums Nairobi kwanza nyingi sana but at the same time the middle class is big and from the numbers, its much bigger than that of Dar. Which is what most Kenyans are arguing hapa. Unless you come with a different figure from a reputable source. No offense intended. This is typical Nairobi below, like any other city in a developed country.

View attachment 1227371

View attachment 1227366

View attachment 1227370
Meaning you are chasing away the lower class in the city kama mnavunja slums na kujenga middle class meaning hamtaki low class Nairobi? Usisahau Dar es salaam ni bandari salama kila mtu akaribishwa na kila mtu atajenga na kuishi kutokana na kipato chake hii ndio Dar es salaam
 
Umeelewa ufafanuzi wa kule juu??
Naona gongo zinakuvuruga buddah.

Asa ww utasemaje mtu ana lease ilhali ht asipolipia ile mali hapokonywi???
Duh pole sana.

Nakusisitiza kuna umilikaji aina mbili Tz wa ardhi ,umilikaji wa ardhi wa kimila na wa hati.
Wa hati mostly inakua kuhusu viwanja vya hifadhi na jumla vilivyopo chini ya serikali yan vyamilikiwa na serikali.
Usiponielewa hapo kajambe mbele maana hadi article nilikuletea ya land act ukashindwa kuelewa.
Kwn huaga ukienda ku lease unapewa bure..nieleze vizuri jomba, halafu pia ku renew ni bure au vp...

With facts, sitaki maneno ya vijiweni
 
Hautoi hela ww ni bure acha ubishi wa kijinga.
Halafu imeekwa hvyo kuhakiki mali yako wewe mmiliki halali maana siku hz kuna migogoro ya ardhi na kuibiana ardhi na wapo wanaouza ardhi kiholela kumbe sio zao.
SIJUI KM ULISHAWAHI KULIFIKIRIA HILI AMA UKO MYOPIC TU???
Unaongea sana...uhakiki wa nn na wakati wewe ni raia wa tanzania...kwn mru akifa hana watu?
Hzo sheria zenu bana....
Basi ndio ujue ccm ndio wamiliki wa ardhi ya tanzania...

Kisha mbna unadanganya, kemu niletee ushahidi km mda wake ukiisha ukienda ku renew ni bure

Kwani we unakiwanja mpaka ufanyiwee hvyo vitu?[/QUOTE][/QUOTE]
 
Kwani diamond ni muingereza???!!..dunia nzima inajua diamond ni mswahili,only fools complicate...eti education!!?? English education!!?? Dah Africa tuna safari ndefu sana
Safari ya kutoka LDC lazima iwe tu ndefu 😂
 
Has that stopped Nairobi from being $6 billion short of matching Tanganyika's economy?

That do not diverge the fact that this crook was elected my a bunch of matatu drivers and hawkers and Bodabodas plus jobless and Hopeless humans in Nairobi,( of course you and I know their Number is 90% of Nai residents)
No intellectual will elect such ignorant fella.
 
Meaning you are chasing away the lower class in the city kama mnavunja slums na kujenga middle class meaning hamtaki low class Nairobi? Usisahau Dar es salaam ni bandari salama kila mtu akaribishwa na kila mtu atajenga na kuishi kutokana na kipato chake hii ndio Dar es salaam
Na matunda yake ni kwamba mko na uswazi aka dream houses kila mahali ndani ya jiji lenu
 
That do not diverge the fact that this crook was elected my a bunch of matatu drivers and hawkers and Bodabodas plus jobless and Hopeless humans in Nairobi,( of course you and I know their Number is 90% of Nai residents)
No intellectual will elect such ignorant fella.
And that doesn't stop the fact that the economy of Nairobi is soon overtaking the economy of muungano wa jamhuri ya Tanzania. Aren't you concerned about this?
 
Tanzanians, continue bringing those kibera photos. We really like to see them 😂 😂 😂

PhotoGrid_1570725754867.jpg
 
Mbna una hisia hvo
That do not diverge the fact that this crook was elected my a bunch of matatu drivers and hawkers and Bodabodas plus jobless and Hopeless humans in Nairobi,( of course you and I know their Number is 90% of Nai residents)
No intellectual will elect such ignorant fella.
 
Kwn kenya ndio haina community land...wacha kujeuza gear hewani...

Mimi naongelea umilikaji wa ardhi yako binafsi, hamna cha mambo ya community land hapa...

Tunaongelea umilikaji wa tittle deed hapa...mambo na community land hta sisi zipo na hta tumeshatithishwa haswa
[/QUOTE][/QUOTE]Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.
 
Back
Top Bottom