The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Nimeipenda sn hyo engeneering iliyofanyika hapo.Hua natamani sana ile round about ya Msamvu pale Morogoro siku moja ije iwe kitu hiki[emoji116][emoji116]
View attachment 1452793
Ndo nimeshangaa imekaaje hiini fake news bro
Hyo picha namba 4 huyo the blues kwa kweli ni unbeaten kwa Afrika hii, I wish lingekuwa posta hilo daaahhh.
pumzisha hio Techno J5 imepata moto[emoji23]
Iwe kama hii inajengwa Mombasa na pale westlands NairobiHua natamani sana ile round about ya Msamvu pale Morogoro siku moja ije iwe kitu hikiππ
View attachment 1452793
Dunia imeshajua ya kwamba Magu ni [emoji89] [emoji3][emoji3][emoji3]haya aliyasema magufuli toka mwanzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] leo WHO ndio wameliona
Mzee wa render na ndoto za alinacha [emoji3][emoji3]Iwe kama hii inajengwa Mombasa na pale westlands Nairobi
View attachment 1452839View attachment 1452840
haya aliyasema magufuli toka mwanzo ππππππ leo WHO ndio wameliona
kwani wewe ni poyoyo kutoona tofauti za hizo picha? ya juu 3 levels ya chini 2 level!Iwe kama hii inajengwa Mombasa na pale westlands Nairobi
View attachment 1452839View attachment 1452840
Kuna kitu hapa nimetoa kwenye hotuba ya wizara ya ujenzi ya majuzi
inajengwa au itajengwa ???πππIwe kama hii inajengwa Mombasa na pale westlands Nairobi
View attachment 1452839View attachment 1452840
mwambie akuoneshe inajengwa wapiππMzee wa render na ndoto za alinacha [emoji3][emoji3]
Hivi Ukitumia akili ya kawaida utaendelea kutangaza hivi hadi lini?[emoji23][emoji23] subir tuone watakuwa wanawataja nan