Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau Marekani walijitoa kwenye mradi wa umeme wakati huo pamoja na msaada wao tulikuwa na vijiji elfu mbili na uchafu vyenye umeme, sasa kuna vijiji zaidi ya elfu tisa vyenye umeme na 2021 wanataka wamalize vijiji vyote nchi nzima.
 
Huyu jamaa usikurupuke naye mwanzo kwa sababu ana hulka ya kuibuka na ushindi mwishoni hiki kitu hata wapinzani hawajikielewa wanakuwa wepesi kumuattack mwanzo badala ya kusubiri kwanza.
Jamaa alichukua form ya urais hakuwa hata na uhakika wa 10% kwamba atakuja kuwa raisi, majina yalikuwa membe na lowassa. Nyota yake inayong'aa mwishoni ilianza kufanya kazi hapa, hata January Makamba alikuwa na nafasi kubwa kushinda Magu lakini kilichotokea anajua Mungu tu.
 
Viwanja vyote vya CCM si rahisi kukarabatiwa, dar viwanja vyake ni vya serikali ndio maana vinakarabatiwa, CCM sidhani kama wana pesa ya kukarabati viwanja na serikali haiwezi tenga pesa kukarabati viwanja vya Chama.
Hapa ni either Chama kiachie viwanja kitu ambacho si rahisi au TFF ama mikoa husika wavinunue hivi viwanja Toka CCM ili serikali ivihudumie, mfano pale mza ni rahisi kujenga uwanja mpya kuliko kukarabati CCM kirumba zogo lake halitapata suluhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…