Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We angalia tu hivyo video dakika ya 2:30 hata huyo mtangazaji anaonyesha kukata tamaa na hicho kichwa cha mbogo! 😀 😀
Hehe umesahau hii so passenger train,najua huwezi ileta kwasababu is cute than that locusts train
 
Marine One sio?
angalia mtambo wa gongo wa jirani!

halafu angalia kitu hiki


Wacha kabisa Mkuu dude hilo km US, yn huu uzi umewasaidia sn wakenya wameona tofauti iliyopo kati yetu na wao, tuko mbele yao kwny mambo mengi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanatumiwa na mabwana zao ili tukubali majaribio ya chanjo
 
Jana niliwasikiliza mawaziri wa Zambia, wanasema pia wanatumia muda huo kuwafanyia training watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…