Huyu museveni si ndiye aliyekuwa akimpinga jiwe kwenye suala la maombiAma kwa hakika hii covid-19 imempambanua Magu kuwa ni kiongozi wa namna gani
Mapambano ya Covid-19: Msimamo wa Marais Magufuli, Trump na Museveni unafanana – Bongo LeoView attachment 1444126View attachment 1444127View attachment 1444128View attachment 1444129
Failed state indeed...unapima nini watu,wakati wanafia nyumbani..!!!au huyu walimsahau??..sasa kama walimsahau basi zoezi loooote limeharibika🤣🤣😂😂
lol hii ni gari ya Kenya bila shaka inaenda bandarini Dar kuchukua mzigo 😁😁😁
Halafu wanazivunjavunja wakizirudisha undergroundUshawahi kufika Dallas Tx, kuona spaghetti dowtown kabisa?
Kenya kaeni kando muone show tutakayowapa hawa jamaa iwapo wakiugusa mpka wetu
Tanzania deploys troops at the Mozambique border
afu hawa watoto bana
Sijakuelewa.Halafu wanazivunjavunja wakizirudisha underground
Museveni aliposikia Magufuli anawaambia watz tuombe siku 3,alisema Mungu asisumbuliwe yuko bize,wakenya kama Kawaida yao,wakanza kutukana,na mabwana zao Marekani wamepita alikopita Magu,huwezi kuwasikia wakisema lolote.Ama kwa hakika hii covid-19 imempambanua Magu kuwa ni kiongozi wa namna gani
Mapambano ya Covid-19: Msimamo wa Marais Magufuli, Trump na Museveni unafanana – Bongo LeoView attachment 1444126View attachment 1444127View attachment 1444128View attachment 1444129
Aisee,yote wameisha yakubali waliyokuwa wanampinga,imebaki test kits,kujifukiza na dawa ya Madagascar.Huyu museveni si ndiye aliyekuwa akimpinga jiwe kwenye suala la maombi
Naona akili imemkaa sawa,kwa magufuli kila mmoja atakubali tu ni suala la muda tu