Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta contsrution ya double deker uliosema hapa kwanza kabla hujaruka kwenda kwengine 😂😂😂😂😂
I can confirm that construction has started.
IMG_20200508_162304.jpg
IMG_20200507_225632.jpg
 
Uko sahihi,ivyo vifaa na hao watoa huduma lazima wafanyie kazi zao kwenye jengo lenye hadhi...utajizungusha sana lakini hutaweza kukubali

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hospital in Kilifi Kenya
mumeona construction board wanjala kaleta😂😂😂😂😂😂😂😂 sinilisema humu jana hamkuamini mumeona sasa
Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.
Utakuwa mjinga tu kutafuta board huku umeonyeshwa uhalisia.
Board yaweza kuwa hata Westlands ama CBD ama South C Nani anajua mahali ipo!?
 
mumeona construction board ya wanjala kahangaika siku nzima kakosa kaona aje na picha za kuokota atoe machungu👇👇👇

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

C5628766-8243-4121-86D1-27A7F1011965.png
 
Hospital in Kilifi Kenya

Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.
Utakuwa mjinga tu kutafuta board huku umeonyeshwa uhalisia.
Board yaweza kuwa hata Westlands ama CBD ama South C Nani anajua mahali ipo!?
ujenzi umeanza wapi unafkiri humu ni nairaland utafanya watu wapuuzi kwa taarifa yako sisi tunawatu kila pemebe ya kenya ww utadanganya nn hapa😂😂😂😂😂😂 mm nakwambia wanjala na nina kuhakiakishia ujenzi haujaanaza na hamuna ndoto hio kwa sasa yaweke maneno yangu kama akiba
 
mumeona construction board ya wanjala kahangaika siku nzima kakosa kaona aje na picha za kuokota atoe machungu👇👇👇

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View attachment 1443952
Nilifikiri we jamaa wa akili!?
Sipendi wajinga. Echoboy I can't engage you ever again. I thought you are reasonable like Tuusan, Game over etc.
 
Hospital in Kilifi Kenya

Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.
Utakuwa mjinga tu kutafuta board huku umeonyeshwa uhalisia.
Board yaweza kuwa hata Westlands ama CBD ama South C Nani anajua mahali ipo!?
construction board inakaa site sehemu ambayo ni base ya contractors wewe usijifanye mwehu leo😂😂😂😂😂😂
 
Nilifikiri we jamaa wa akili!?
Sipendi wajinga. Echoboy I can't engage you ever again. I thought you are reasonable like Tuusan, Game over etc.
siku utanionesha construction board au tofali la ujenzi au site ya wakandarasi mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom