Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja kitu kimoja cha maana sana ama ambacho huwezi pata hata vijijini!? Huenda hatukuelewi!?
Ni taa
Ama grill
Ama ni viti!?????????
hamuwez kushindana na dar kwenye classic night clubs never ever πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaitwa ushamba ama lack of exposure thinking "your mother's food is the best"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilidhani ulitaja mahali eti wewe club hauendangi[emoji23][emoji23][emoji23], umerudi nyuma?, ama ni vipicha ume google?., kuna kipindi mtu alileta hapa lorry za kuzoa taka mjini za kisasa akidai Kenya hazipo na mwingibe akaweka speed gun akisema mitambo kama hizo bado hazijafika Kenya, Kenya iliendelea mapema mbele ya nchi zikingine EAC (by African standards), vitu niliviona in the 90s., nikiwa primary., Ichoboy tembea wacha kusifu tu vya kwenyu ukifikiria ndio mwisho wa dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
iliendelea kwa lipi nashangaa nchi iliondelea leo hii inarudi nyuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huwez kuendelea wakat 21st century munatumia treni za 19th century alaf useme umeendelea huo ni ushuzi wa bata
 
magufuli anawakuna sana vichwa vyenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamuna raha wala amani
 
Hii sawa ila, Dar haina mpangilio. Station ya Gari Moshi katikati ya jiji, a whole interchange katikati ya jiji dahhh!!!

Wabongo nyie mkianza kupata barabara kama za Nairobi hamtolala kabisa.

Yaani mkija kupata barabara zimepita pande zote kama hizi Nairobi, hamtolala


Nairobi hupata barabara mpya karibu kila weekend.
 
huwez sema iliendelea wakat leo munaonekana washamba πŸ˜‚πŸ˜‚ leo mchina anawajengea reli na treni zimetumiaka miaka 50 nyuma alaf useme mumeendelea baada ya kuona mchina kawacharaza ikaonekana bora iishie machakani no way, leo hii mukiri kua mumerudi nyuma huku tano tena jubilee ikiua uchumi wa kenya πŸ˜‚
 
hii ndio homa ya jiji hakuna east and central πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mbona inakaa kienyeji hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nitulie iishe, tutalinganisha na double decker road from JKIA., tuone., malizeni barabara tufungue uzi ya comparison.,

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndio three level interchange ya kwanza east and central africaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ naona ulikua huna taarifa
 
....ulisoma vizuri?., (by African standards).., kuna vitu mnafanya kisa mnadhani sasa mko mbele ya Kenya lakini wapi., negative news by free n somehow liberal media za kwetu zinafanya mnadhani mko sawa kutushinda in comparison to your carefuly selected news reports, controlled by the propagandist regime[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]pole mko hovyo na hamjui., tunajaribu kuwaeleza tu, kubali ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
iliendelea kwa lipi nashangaa nchi iliondelea leo hii inarudi nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwez kuendelea wakat 21st century munatumia treni za 19th century alaf useme umeendelea huo ni ushuzi wa bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona inakaa kienyeji hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nitulie iishe, tutalinganisha na double decker road from JKIA., tuone., malizeni barabara tufungue uzi ya comparison.,

Sent using Jamii Forums mobile app
nioneshe sehemu munajenga double deker road JKIA ukipata mm nafunga acc jamii forumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwakua hata BRT mulianza kujenga nyinyiπŸ˜‚ yani hua munajioma muko mbele kwa akili finyu lakini hua hamujui kua muko nyuma sana tena munazidi kurudi nyuma πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi ni nchi gani leo inaeza kukubaki kujengewa SGR ya miaka 100 iliopita nchi gani hata uganda wamekataa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…