Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nice
But you know we cant compete in a league that we are not in. Usain Bolt cannot race in a 3,000 Meters steeple chase. Yet he is the fastest man on earth, and one of the best athletes
View attachment 521116
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hiyo picha inatisha! Hata siwezi kula nyama tena nikienda TZ! Wanafanyia Wanyama Unyama!!
Dah!!... nyinyi watu ni washamba ajab...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hiyo inaitwa "ndafu"...very common among the chagga people of tanzania.
 
mimi mwenyewe mdomo umejaa mate manze....misosi mitamu sana hiyo.
kadoda that was a good comeback. ..

clap for yourself. ...hehehe.
lakini Ile nayo ulikuwa dry sana si ndio ......I remember our msukuma mboch never disappointed in her culinary prowess....
 
Kula bata seems to be a real deal in Tanzania. ....Kenya ni kuku ya kfc ama nyama choma au fry ndio watu wanalike.

msaada wa hiyo tungo tata wakuuu, mtu huku bila bila πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kenyatta market. .nyam chom section ......unateremsha na ka tusker baridi...don't you forget

msaada wa hiyo tungo tata wakuuu, mtu huku bila bila πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
unajua kiswahili tunachozungumza tanzania ni classic and very modern kiasi kwamba huwa ni vigumu kwa baadhi ya wakenya kutuelewa.

nilijarabu kumfafanulia hapa chini.bila shaka alinielewa.

"kula bata" doesn't mean eating duck meat,it is a swahili slang that stand for enjoying the life.
 
why the big fuss about clash of language jameni....I owned up.Just like in Kenya partying or having real fun inakuwa derived as 'dunda'...or 'kutesa '....got it?
 
unajua kiswahili tunachozungumza tanzania ni classic and very modern kiasi kwamba huwa ni vigumu kwa baadhi ya wakenya kutuelewa.

nilijarabu kumfafanulia hapa chini.bila shaka alinielewa.
Tanzanians shrub with the L and R letters. The best Swahili probably comes from Mombasa .
 
Tanzanians shrub with the L and R letters. The best Swahili probably comes from Mombasa .
Mombasa wanaongea kama wanaimba?nah kiswahili Tanzania lakini wapi hasa wanaozungumza vizuri. ...nadhani jibu sina
 
why the big fuss about clash of language jameni....I owned up.Just like in Kenya partying or having real fun inakuwa derived as 'dunda'...or 'kutesa '....got it?
dunda!!..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

"kutesa" ni neno ambalo tulilitumia tz in late 90s to early 2000s.hatulitumii tena kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…